khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
ngoja kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ni zamu yako sasa maana mataqouer yako yanalia mbwata mbwata mpaka m nimeshtuka usingzn😇😅🤣Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti
Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu kwelii
alafu mnakazana ipo siku mungu atatusaidia hivi mpo serious kweli
Kuna jamaa alisemaga muuwawe mnalitia hasara taifa
Ni aibu tena aibu sana mwanaume kama wewe unakosaje kuwekeza bhana aah hata kiwanja kule Ituli ndani ndani nacho huna
Hata tumbuzi twa kujivunia labda baada ya miaka mitano wanaweza fika 50 ukauza nao huna kweeeli kabisa yaani kabisa
ila smat ya m3 na kagheto kakumbususia wake za watu unalo tena limesheheni vitu ambavyo haviwezi kuku move on wakati ujao
Tuache kujipa matumaini ya hovyo hata Mungu wenu hawapendi watu wa namna hiyo.
Umri ndioo huoooooooo unaenda msiseme sijasema.
Pia mnatabia za kutokujifunza mambo mapya kila kitu unachoambiwa utasikia motivesheni spika, kila kitu kwenu hakiwezekani
(Ngoja tupate tangazo)
.👇
Wakuu samahani kwa yote ni mimi MR PIPA ambaye nilipata hiyo hela nikaenda kuhonga naombeni mnisaidie japo 5000 hali tete michongo imebuma natumaini ombi litashughulikiwa
(Twende tuendelee) hivi kwa nini umri huo umeshindwa kuwa hata na m30 sehemu mnafeli wapi?? Kama ww mwenyewe umejisaliti kwa kuto kuwa na kiasi hicho nani atakuamin, biashara asubuhi jioni mahesabu
Na namwomba shetani watu kama nyinyi muwe na gundu hadi kwenye mbususu yaani mnyimwe ili akili ziwakae
Usimdhihaki Mungu utajuta mzeemmeamua kuZingizia Mungu kama umetimia kiakili kimwili huyo Mungu hana msaada kwenu omba mungu ukiwa mgonjwa nk
Imekuuma kwasababu na ww ni mjinga kama unamsilikiliza huyo boya anaeishi kwa shemej yakeUkweli Mchungu,Imeniuma sana!
Nime cheka ila sijamanisha kufurahi ... hata sijui kwaniniHuwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti
Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu kwelii
alafu mnakazana ipo siku mungu atatusaidia hivi mpo serious kweli
Kuna jamaa alisemaga muuwawe mnalitia hasara taifa
Ni aibu tena aibu sana mwanaume kama wewe unakosaje kuwekeza bhana aah hata kiwanja kule Ituli ndani ndani nacho huna
Hata tumbuzi twa kujivunia labda baada ya miaka mitano wanaweza fika 50 ukauza nao huna kweeeli kabisa yaani kabisa
ila smat ya m3 na kagheto kakumbususia wake za watu unalo tena limesheheni vitu ambavyo haviwezi kuku move on wakati ujao
Tuache kujipa matumaini ya hovyo hata Mungu wenu hawapendi watu wa namna hiyo.
Umri ndioo huoooooooo unaenda msiseme sijasema.
Pia mnatabia za kutokujifunza mambo mapya kila kitu unachoambiwa utasikia motivesheni spika, kila kitu kwenu hakiwezekani
(Ngoja tupate tangazo)
.[emoji116]
Wakuu samahani kwa yote ni mimi MR PIPA ambaye nilipata hiyo hela nikaenda kuhonga naombeni mnisaidie japo 5000 hali tete michongo imebuma natumaini ombi litashughulikiwa
(Twende tuendelee) hivi kwa nini umri huo umeshindwa kuwa hata na m30 sehemu mnafeli wapi?? Kama ww mwenyewe umejisaliti kwa kuto kuwa na kiasi hicho nani atakuamin, biashara asubuhi jioni mahesabu
Na namwomba shetani watu kama nyinyi muwe na gundu hadi kwenye mbususu yaani mnyimwe ili akili ziwakae
Ndiyo akili yako hiimmeamua kuZingizia Mungu kama umetimia kiakili kimwili huyo Mungu hana msaada kwenu omba mungu ukiwa mgonjwa nk
We mwenyewe elfu 30 tu kulipa mtihani [emoji23][emoji23]Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti
Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu kwelii
alafu mnakazana ipo siku mungu atatusaidia hivi mpo serious kweli
Kuna jamaa alisemaga muuwawe mnalitia hasara taifa
Ni aibu tena aibu sana mwanaume kama wewe unakosaje kuwekeza bhana aah hata kiwanja kule Ituli ndani ndani nacho huna
Hata tumbuzi twa kujivunia labda baada ya miaka mitano wanaweza fika 50 ukauza nao huna kweeeli kabisa yaani kabisa
ila smat ya m3 na kagheto kakumbususia wake za watu unalo tena limesheheni vitu ambavyo haviwezi kuku move on wakati ujao
Tuache kujipa matumaini ya hovyo hata Mungu wenu hawapendi watu wa namna hiyo.
Umri ndioo huoooooooo unaenda msiseme sijasema.
Pia mnatabia za kutokujifunza mambo mapya kila kitu unachoambiwa utasikia motivesheni spika, kila kitu kwenu hakiwezekani
(Ngoja tupate tangazo)
.[emoji116]
Wakuu samahani kwa yote ni mimi MR PIPA ambaye nilipata hiyo hela nikaenda kuhonga naombeni mnisaidie japo 5000 hali tete michongo imebuma natumaini ombi litashughulikiwa
(Twende tuendelee) hivi kwa nini umri huo umeshindwa kuwa hata na m30 sehemu mnafeli wapi?? Kama ww mwenyewe umejisaliti kwa kuto kuwa na kiasi hicho nani atakuamin, biashara asubuhi jioni mahesabu
Na namwomba shetani watu kama nyinyi muwe na gundu hadi kwenye mbususu yaani mnyimwe ili akili ziwakae
DahUmesema miaka 10 ya utafutaji sio? Kuanzia 25 hapo unamaanisha!
Sawa, twende pole pole, mimi ni kijana nilikulia maisha ya kuunga unga, home msosi mmoja kwa siku, nimepita pita shule kwa msaada wa serikali, nimemaliza nikiwa na miaka 24. Sina cha kurithi wala sijaanzishiwa maisha.
Miaka 4 ya kutafuta kazi, sina kitu hapo! Miaka 2 iliyofuata nikiwa na ajira ya mshahara wa 1,000,000/= basic, nikaanza kupanga ghetto na kujiweka sawa!
Ili kuepuka kuwa centre point ya familia, najivisha majukumu, kuvuta wengine ili wajitegemee! Kwa miaka 4 napambana na maisha yangu na ya familia(shule, kula, matibabu na pango)
Miaka 10 ya utafutaji wa halali ndo hiyo hapo na umri ndo huo hapo! Sh 30m inapatikanaje?
- Au kwa mikopo ya riba iliyoshushwa? Poda? Michezo au Mission town? Kuwa chawa? Kulamba midomo?
Yeah, hatuwezi kufanana kutokana hatuwezi kufikiri sawaNot all success is due to hard work, and not all poverty is due to laziness.
Keep this in mind before judging people...
It okay to be 35+ without success.
It's okay to be 35+ without marriage.
Kila kitu kinakuja kwa wakati.
Hata vidole vyako havifanani.
Ili ecosystem ya maisha iende sawa.
Hatuwez kufanana wote.