Ni aibu sana mwanaume mwenye umri 35 na kuendelea kukosa uwekezaji wa kuanzia millioni 30

umeendika kitu cha maana sana boss, atakae pitia andiko lako atatambua nguvu iliyopo kwa Mungu
mmeamua kuZingizia Mungu kama umetimia kiakili kimwili huyo Mungu hana msaada kwenu omba mungu ukiwa mgonjwa nk
 
Ni aibu sana kutoa hoja kama hii!!!
1)Wapo waliokuwa wanaugua wakalazwa au kuugulia nyumbani shughuli zao zikasimama
1)Wapo waliofungwa jela miaka kadhaa kwa kesi za kweli au kusingiziwa
1)Wapo walioachishwa kazi kwa makosa au kupunguzwa
1)Wapo waliofiwa na watu waliokuwa wakiwategemea mfano kimasomo au kwa za kiuchumi.
Na wote hao huenda wana umri zaidi ya miaka 35.
Hivyo si sawa kutumia kigezo cha umri katika swala hilo.
 
Sisi ni waleeeviiii
Tunapenda kamyweesooo
Ni furaha, kuwa na marafiki
Ni furaha, kulewa na marafiki…🎤🎼🎺🎧
 
kwenye LIST angu hao hawapo
 
Ndoto zako si ndoto za wengine. Wengine wameridhika na maisha yalivyo. Usitake kuwafanya wote wapende upendacho wewe.
 
Remote ya dish tafadhali
Signal strength sifuri
 
Sisi Waswahili tunasema hivi "Mswahili akipata matako hulia mbwata" au "Mkata akipata matako hulia mbwata".

Kijana wewe kama umewekeza shukuru Mola, watu wanapitia mambo magumu sana, na wala si wajinga na ni wapambaji kushinda hao walio fanikiwa kuwekeza.

Wajinga kama wewe ndiyo wakipata huwa wanawaona ambao hawajapata ni wajinga, na wavivu. Kijana jiangalie sana.
 
Dah!...anayekutukana hakuchagulii tusi, mtoa mada acha kutukana aisee.
 
Maandiko kama haya yanaweza kuchukuliwa masikhara lakini ni hatari sana kwa kuwa yanawagusa watu wengi na hupelekea msongo wa mawazo na hata kujiua.....
Upo sahihi kabisa, yanawafanya wengine wajione duni na walioshindwa.
 
NEWS-
watu kadhaa hufa kila mwaka kwa njaa.

mtoa mada-huu ni uzembe, mtu anakosaje chakula mapori yote haya ya kulima.

mtoto wa bilgate-daaah sasa kwanini hawakula mpaka wanakufa??
 
Watu mliotusua maisha mnatuona sisi mafukara kama mavi hivi, dah!!!, sawa bhana. Mafukara wenzangu tupambane kutafuta cash na Kumuomba MUNGU atufanikishe ktk mapambano yetu.
 
Umesema uwekezaji..yani net wealth...hapo sawa.

Ila kwamba kusema benki kuna 30m zipo hazina kazi hapo ngoja niendelee kuzikusanya hope nikifika 35 zitakuwa zimefika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Not all success is due to hard work, and not all poverty is due to laziness.
Keep this in mind before judging people...


It okay to be 35+ without success.
It's okay to be 35+ without marriage.

Kila kitu kinakuja kwa wakati.

Hata vidole vyako havifanani.
Ili ecosystem ya maisha iende sawa.
Hatuwez kufanana wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…