Ni aibu sana mwanaume mwenye umri 35 na kuendelea kukosa uwekezaji wa kuanzia millioni 30

Naona ni zamu yako sasa maana mataqouer yako yanalia mbwata mbwata mpaka m nimeshtuka usingzn😇😅🤣
 
Andiko kama hili linaweza kuwa kisababishi cha mtu kunywa sumu huko alipo,kwahiyo ww unaaamini kila aliefika umri utu uzima na hana maisha unaamin alikuwa sio mpambanaji?
 
Kumbe kua na mbuzi nako ni uwekezaji wa aina yake...🤣🤣🤣🤣
 
Nime cheka ila sijamanisha kufurahi ... hata sijui kwanini
 
Ila jamii forum mtu kama hawajui anaweza akaacha hata kuingia kujisomea manina [emoji3][emoji3][emoji3]
 
mmeamua kuZingizia Mungu kama umetimia kiakili kimwili huyo Mungu hana msaada kwenu omba mungu ukiwa mgonjwa nk
Ndiyo akili yako hii


 
We mwenyewe elfu 30 tu kulipa mtihani [emoji23][emoji23]


 
ukijaaliwa shukuru Mungu acha kukebehi wengine kwani maisha ni kama flip flop leo set kesho reset
 
Dah
 
Mleta mada ni katili sana. Ujumbe uko sawa ila umeandikwa kikatili. Umenikumbusha mpuuzi mmoja wa Forever Living nilihudhuria semina yake akadai kama una kipato cha USD 10,000 basi wewe ni fukara wa kutupwa. Hiyo kitu iliniuma balaa kwasababu hata dola 5000 tu nilikuwa sifikishi kwa mwaka.
 
ushalipwa elfu10 baada ya kukojolewa na Wanaume wenzako unakuja kuandika upumbav humu...
 
Jamiiforums is never boring, yaani ndugu mwandishi hujui ya kwamba kinachomtofautisha mtu na mtu ni uwezo wake wa kufikiri? Hayo mawazo yako hayawezekani kwasababu hatuwezi kufanana!
 
Yeah, hatuwezi kufanana kutokana hatuwezi kufikiri sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…