kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Usikalili mbinu za kupambana na siasa mpendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.
Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia kujisahihisha na kuonyesha kuwepo kwa uwazi. Hili la serikali kuonyesha uwazi ni jambo la kupongezwa.
Kwa maana hiyo ni aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kuitumia kama msingi kwa kuikosoa serikali. Kwa maana nyingine kama serikali ingeamaua kutoiweka taarifa ya CAG hadharani wapinzani wasingekuwa na cha kusema.
Hii inaonyesha haviko tayari kuwa wapinzani wala kuwa chama tawala.
ila ccm wanaofanya ufisadi wa kuwalea vyura marekan kwa tozo ya mtanzania hoi ndo wanaakili?Chadema wengi Akili hawana
Hapana! Hoja inaeweka. Ngoja niongezee. Iko hivi; haya yote tunayajua kwa sababu kuna transparency ktk uongozi wa nchi. Champion ni Mhe. Rais Samia. Kwamba hakutaka CAG afiche kitu. Kwamba kila senti ikaguliwe. Huo ni ujasiri wa Rais. Si Marais wote wa Afrika wana ujasiri huo.Kwahiyo tukubaliane hakuna upotevu wa fedha, alichofanya CAG ni hisia tu. CCM iendelee kuwa madarakani kwa ufanisi wake mkubwa sana wa kusimamia mapato ya serikali.
Mkuu uwe unasoma na kuelewa. Hicho alichosema ni matokeo ya mfumo ambao serikali ya CCM imejitengenezea ili kuisaidia kujisahihisha na inaonyesha kwa wananchi; kila mwenye macho kaona; sasa swali nyie wapinzani sauti yenu kuhusu maovu yanayotokea nchi hii iko wapi? Mkuu huwezi kujisifu kuwa umemchuna nyoka wakati kajivua gamba mwenyewe ili apate sura na muonekano mpya.
Mbingu na nchi,mada na kile ulichokiandika ni mbingu na nchi.mwenzio kajikita kwenye hoja ya msingi,wewe unatukana na kufoka.ccm na vijana wake wote ni mashoga ndio maana mamayenu aliamua kuwaletea mtetez wa mashoga ikulu kutokea marekani maana mnachoweza ni ushoga tu hata taarifa ya CAG kwenu ni kina kirefu so endelezen ushoga huko ccm, report ya CAG hamuiwez na upinzan utaijadir maana hatuwez kuona kodi zetu za mabillion zinaliwa na mashoga ya ccm.
Kuna hatari hii ripoti ikatumika vibaya kisiasa, serikali iliangalie hilo.
wala siumii isipokuwa naumia zaidi kwa wapinzani kushindwa kufanya kazi yao
Unatumiaje taarifa ya mwenzako? huo ni wizi
- Tumeunda, kuiopa uwezo taasisi ya CAG kikatiba
- Tumeifanya taasis ya CAG kutoa taarifa kwa mamlaka na umma
- Tumewapa nafasi wahusika kutoa maelezo ya mapungufu yao kwa mjibu wa taarifa ya CAG
- Wanaobainika wanachukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria
Hujaelewa, anamaanisha serikali ndo imegundua haya madudu siyo wapinzani, Ina maana wapinzani wanagonjea hadi serikali igundue tatizo then ndo waanze kuisakama serikali,Kwahiyo tukubaliane hakuna upotevu wa fedha, alichofanya CAG ni hisia tu. CCM iendelee kuwa madarakani kwa ufanisi wake mkubwa sana wa kusimamia mapato ya serikali.
Huoni makosa yaliyotajwa na CAG kwa mfano kuwepo wa matumizi yasiyo na nyaraka au yenye nyaraka pungufu- reje ataarifa ya CAG
Lini chadema waliwahi kutoa tamko la kukemea ushoga bora hata CCM wamewahi kukemea ushoga
Operesheni Sangara hiyo unamkaanga kwa kutumia mafuta yake mwenyewe.vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.
Hapana! Hoja inaeweka. Ngoja niongezee. Iko hivi; haya yote tunayajua kwa sababu kuna transparency ktk uongozi wa nchi. Champion ni Mhe. Rais Samia. Kwamba hakutaka CAG afiche kitu. Kwamba kila senti ikaguliwe. Huo ni ujasiri wa Rais. Si Marais wote wa Afrika wana ujasiri huo.
Hoja ya pili, wapinzani ni kazi yao ku challenge Serikali iliyopo madarakani lakini ili kuonyesha maturity lazima waongee kwa facts. Fact ya kwanza wakubali Mhe. Rais anaongoza kwa uwazi na ya pili, ndiyo hiyo kuomba hatua za kisheria kwa watuhumiwa. Jambo ambalo limeelekezwa. 🙏🙏🙏
Soma katiba kwanza ujue kwa nini ofisi ya CAG ilianzishwa, ujue ukomo na mipaka yake. Usiandike jambo kwa pupa. CCM yako inamiliki UVCC, UWT na idara zake si mihimili ya dola kama ofisi ya CAG, TAKUKURU etcKatika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.
Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia kujisahihisha na kuonyesha kuwepo kwa uwazi. Hili la serikali kuonyesha uwazi ni jambo la kupongezwa.
Kwa maana hiyo ni aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kuitumia kama msingi kwa kuikosoa serikali. Kwa maana nyingine kama serikali ingeamaua kutoiweka taarifa ya CAG hadharani wapinzani wasingekuwa na cha kusema.
Hii inaonyesha haviko tayari kuwa wapinzani wala kuwa chama tawala.
Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.
Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia kujisahihisha na kuonyesha kuwepo kwa uwazi. Hili la serikali kuonyesha uwazi ni jambo la kupongezwa.
Kwa maana hiyo ni aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kuitumia kama msingi kwa kuikosoa serikali. Kwa maana nyingine kama serikali ingeamaua kutoiweka taarifa ya CAG hadharani wapinzani wasingekuwa na cha kusema.
Hii inaonyesha haviko tayari kuwa wapinzani wala kuwa chama tawala.
Mkuu uwe unasoma na kuelewa. Hicho alichosema ni matokeo ya mfumo ambao serikali ya CCM imejitengenezea ili kuisaidia kujisahihisha na inaonyesha kwa wananchi; kila mwenye macho kaona; sasa swali nyie wapinzani sauti yenu kuhusu maovu yanayotokea nchi hii iko wapi? Mkuu huwezi kujisifu kuwa umemchuna nyoka wakati kajivua gamba mwenyewe ili apate sura na muonekano mpya.
Ni sawa kwa mfano taarifa ya Zitto ya Barrick aliitafuta na alikuwa owner wake. Hii ya kutumia taarifa ya CAG siyo sawa kwani hiyo ni internal control mechanism ya serikaliHapa Sikubaliani naww kwasababu, refer mabunge hasa kipind cha kikwete upinzani umekua msaada mkubwa kwa watanzania kujua madudu ya serikali yao hilo halina ubishi. Nadhan wangekua bungeni hata haya wangeyasema, ingawa Nchi hii upinzani bado but somehow hawa waliopo wamesaidia san kujua uchafu wa Nchi hii!!