Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.

Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia kujisahihisha na kuonyesha kuwepo kwa uwazi. Hili la serikali kuonyesha uwazi ni jambo la kupongezwa.

Kwa maana hiyo ni aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kuitumia kama msingi kwa kuikosoa serikali. Kwa maana nyingine kama serikali ingeamaua kutoiweka taarifa ya CAG hadharani wapinzani wasingekuwa na cha kusema.

Hii inaonyesha haviko tayari kuwa wapinzani wala kuwa chama tawala.

Kubalini serikali yenu ni ya mafisadi.
 
Acha uongo, Mbowe Ni Mwenyekiti wa vyama vya kidemocrasia Africa DUA na pia Makamu Mwenyekiti wa vyama vya kidemocrasia Duniani IDU. Tofautisha International Democratic Union na Liberal parties ambayo mwanachama wake ni CUF kwa Tanzania.
 
Kwahiyo tukubaliane hakuna upotevu wa fedha, alichofanya CAG ni hisia tu. CCM iendelee kuwa madarakani kwa ufanisi wake mkubwa sana wa kusimamia mapato ya serikali.
Hapana! Hoja inaeweka. Ngoja niongezee. Iko hivi; haya yote tunayajua kwa sababu kuna transparency ktk uongozi wa nchi. Champion ni Mhe. Rais Samia. Kwamba hakutaka CAG afiche kitu. Kwamba kila senti ikaguliwe. Huo ni ujasiri wa Rais. Si Marais wote wa Afrika wana ujasiri huo.

Hoja ya pili, wapinzani ni kazi yao ku challenge Serikali iliyopo madarakani lakini ili kuonyesha maturity lazima waongee kwa facts. Fact ya kwanza wakubali Mhe. Rais anaongoza kwa uwazi na ya pili, ndiyo hiyo kuomba hatua za kisheria kwa watuhumiwa. Jambo ambalo limeelekezwa. 🙏🙏🙏
 
Mkuu uwe unasoma na kuelewa. Hicho alichosema ni matokeo ya mfumo ambao serikali ya CCM imejitengenezea ili kuisaidia kujisahihisha na inaonyesha kwa wananchi; kila mwenye macho kaona; sasa swali nyie wapinzani sauti yenu kuhusu maovu yanayotokea nchi hii iko wapi? Mkuu huwezi kujisifu kuwa umemchuna nyoka wakati kajivua gamba mwenyewe ili apate sura na muonekano mpya.

CCM ni wezi fullstop. Hayo ya CHADEMA ni kutaka kujificha.
 
ccm na vijana wake wote ni mashoga ndio maana mamayenu aliamua kuwaletea mtetez wa mashoga ikulu kutokea marekani maana mnachoweza ni ushoga tu hata taarifa ya CAG kwenu ni kina kirefu so endelezen ushoga huko ccm, report ya CAG hamuiwez na upinzan utaijadir maana hatuwez kuona kodi zetu za mabillion zinaliwa na mashoga ya ccm.
Mbingu na nchi,mada na kile ulichokiandika ni mbingu na nchi.mwenzio kajikita kwenye hoja ya msingi,wewe unatukana na kufoka.
 
wala siumii isipokuwa naumia zaidi kwa wapinzani kushindwa kufanya kazi yao

CCM wezi unawachekea, ila CHADEMA wanakuumiza. Yani ujaze CCM bungeni na halmashauri ila hasira zako ziwe CHADEMA amabako hawana mamlaka ya maamuzi. Punguza unafiki.
 
  1. Tumeunda, kuiopa uwezo taasisi ya CAG kikatiba
  2. Tumeifanya taasis ya CAG kutoa taarifa kwa mamlaka na umma
  3. Tumewapa nafasi wahusika kutoa maelezo ya mapungufu yao kwa mjibu wa taarifa ya CAG
  4. Wanaobainika wanachukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria

Katiba ni ya CCM kumbe sikujua. Ndio maana hamtaki ibadilishwe. Umeulizwa swali jepesi umeshindwa kujibu, mmechukua hatua gani Kama CCM kukomesha wizi?. We unarudia tu Yale Yale.

Miaka yote mnaiba hamjawahi kuridhika hata siku moja tangu loliondo gate , Richmond dowans, escrow, 1.5 trillion etc
 
Kwahiyo tukubaliane hakuna upotevu wa fedha, alichofanya CAG ni hisia tu. CCM iendelee kuwa madarakani kwa ufanisi wake mkubwa sana wa kusimamia mapato ya serikali.
Hujaelewa, anamaanisha serikali ndo imegundua haya madudu siyo wapinzani, Ina maana wapinzani wanagonjea hadi serikali igundue tatizo then ndo waanze kuisakama serikali,
CAG ni mtumishi wa serikali na kazi yake ni kugundua matatizo kama hayo,,
 
Huoni makosa yaliyotajwa na CAG kwa mfano kuwepo wa matumizi yasiyo na nyaraka au yenye nyaraka pungufu- reje ataarifa ya CAG

Makosa ya kila mwaka yanajirudia ndio unaita kujisahisha. Muitane huko wenyewe msahishane msiwe mnatupigia kelele na maripoti yenu.
 
Attachments

  • 1679755198287.jpg
    1679755198287.jpg
    14.7 KB · Views: 2
Hapana! Hoja inaeweka. Ngoja niongezee. Iko hivi; haya yote tunayajua kwa sababu kuna transparency ktk uongozi wa nchi. Champion ni Mhe. Rais Samia. Kwamba hakutaka CAG afiche kitu. Kwamba kila senti ikaguliwe. Huo ni ujasiri wa Rais. Si Marais wote wa Afrika wana ujasiri huo.

Hoja ya pili, wapinzani ni kazi yao ku challenge Serikali iliyopo madarakani lakini ili kuonyesha maturity lazima waongee kwa facts. Fact ya kwanza wakubali Mhe. Rais anaongoza kwa uwazi na ya pili, ndiyo hiyo kuomba hatua za kisheria kwa watuhumiwa. Jambo ambalo limeelekezwa. 🙏🙏🙏

Wapinzani wamewaachia wenyewe mpambane na wizi wenu.
 
Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.

Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia kujisahihisha na kuonyesha kuwepo kwa uwazi. Hili la serikali kuonyesha uwazi ni jambo la kupongezwa.

Kwa maana hiyo ni aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kuitumia kama msingi kwa kuikosoa serikali. Kwa maana nyingine kama serikali ingeamaua kutoiweka taarifa ya CAG hadharani wapinzani wasingekuwa na cha kusema.

Hii inaonyesha haviko tayari kuwa wapinzani wala kuwa chama tawala.
Soma katiba kwanza ujue kwa nini ofisi ya CAG ilianzishwa, ujue ukomo na mipaka yake. Usiandike jambo kwa pupa. CCM yako inamiliki UVCC, UWT na idara zake si mihimili ya dola kama ofisi ya CAG, TAKUKURU etc
ofisi ya CAG si mali ya chama cho chote cha siasa.
Jiongezee ufahamu kabla ya kukurupuka
 
Hapa Sikubaliani naww kwasababu, refer mabunge hasa kipind cha kikwete upinzani umekua msaada mkubwa kwa watanzania kujua madudu ya serikali yao hilo halina ubishi. Nadhan wangekua bungeni hata haya wangeyasema, ingawa Nchi hii upinzani bado but somehow hawa waliopo wamesaidia san kujua uchafu wa Nchi hii!!
Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali.

Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia kujisahihisha na kuonyesha kuwepo kwa uwazi. Hili la serikali kuonyesha uwazi ni jambo la kupongezwa.

Kwa maana hiyo ni aibu kubwa kwa vyama vya upinzani kuitumia kama msingi kwa kuikosoa serikali. Kwa maana nyingine kama serikali ingeamaua kutoiweka taarifa ya CAG hadharani wapinzani wasingekuwa na cha kusema.

Hii inaonyesha haviko tayari kuwa wapinzani wala kuwa chama tawala.
 
Mkuu uwe unasoma na kuelewa. Hicho alichosema ni matokeo ya mfumo ambao serikali ya CCM imejitengenezea ili kuisaidia kujisahihisha na inaonyesha kwa wananchi; kila mwenye macho kaona; sasa swali nyie wapinzani sauti yenu kuhusu maovu yanayotokea nchi hii iko wapi? Mkuu huwezi kujisifu kuwa umemchuna nyoka wakati kajivua gamba mwenyewe ili apate sura na muonekano mpya.

CCM ilitakiwa ijitengenezee mifumo ya kuisaidia ndani ya chama chao, na sio kupitia fedha za umma. Au unadhani fedha za serikali zinatokana na kodi za wañaccm tu? Mmekuwa wajinga hadi miradi ya serikali mnaona kama ni ya CCM. Iko siku utasema wapinzani wanapita kwenye barabara zilizojengwa na CCM na wala sio kodi za wananchi.
 
Hapa Sikubaliani naww kwasababu, refer mabunge hasa kipind cha kikwete upinzani umekua msaada mkubwa kwa watanzania kujua madudu ya serikali yao hilo halina ubishi. Nadhan wangekua bungeni hata haya wangeyasema, ingawa Nchi hii upinzani bado but somehow hawa waliopo wamesaidia san kujua uchafu wa Nchi hii!!
Ni sawa kwa mfano taarifa ya Zitto ya Barrick aliitafuta na alikuwa owner wake. Hii ya kutumia taarifa ya CAG siyo sawa kwani hiyo ni internal control mechanism ya serikali
 
Back
Top Bottom