Pia Naona kuna kaungu-utu ndani yakeAfya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.
Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .
Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.
Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.
Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke
that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.
Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis
huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…
Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo
Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.
I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,
watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….
Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu
Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Ana ego trap 🪤Pia Naona kuna kaungu-utu ndani yake
Mkuu Dr. Megalo, Megalodon , afya ya akili ni tatizo kubwa kwa Watanzania, utafiti ulibaini kwenye kila watu 4, 1 ana changamoto ya afya ya akili!. Niliwahi kuandika humu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!. - JamiiForumsAfya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.
Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke
that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.
Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Mwigulu Madelu NCHEMBA pia ana tatizo hilo kubwa sana. Hana tofauti sana na huyo Kitambi au Katambi.Ana ego trap 🪤
Ume observe vizuri sana
One of the mental issue symptoms ni mtu akiamini kuwa ana mamlaka na ukajaribu kumbishia basi atafanya decision kukuonesha yeye ni ana nguvu zaidi yako , ndio watu wa aina hii wanaweza hata kuua mtu baadae atasema ilikuwa hasira
Kitaalam hizo ni symptoms Tayari , yaani hata mke wake awe makini na mtu huyu
Jukumumama lake ni usalama wa watu na mali zao. Tumpime kwa hilo, mengine ni ziada tu.Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.
Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .
Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.
Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.
Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke
that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.
Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis
huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…
Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo
Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.
I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,
watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….
Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu
Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.

watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.
Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .
Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.
Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.
Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke
that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.
Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis
huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…
Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo
Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.
I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,
watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….
Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu
Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Ni kweli kabisa mkuu, tatizo la afya ya akili ni kubwa sana ndani ya uongozi wa CCM Taifa na hata ndani ya serikali hii. Kwa yale yanayojili ndani ya chama hiki kuna kila sababu ya kuamini 70% hadi 85% ya uongozi wa chama hiki taifa kuna changamoto hii inawakabili.Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.