Ni Aidha Katambi ana changamoto ya Afya ya Akili au Obsession au amekosa objective na Mission kwenye Wizara yake

Mara nyingi wale wanaomini wenzao ni wagonjwa wa Afya ya Akili ukiwachunguza scientifically utagundua wao ndio wagonjwa zaidi.
 
Well said. Ila vita haina macho kwasababu risasi zinaruka tu bila kutumia GPS, zinaweza kupitiliza shabaha na kutua kokote.
Mwanzo nilidhani ni ushamba unamsumbua lakini kila uchao tunaona ni zaidi ya hilo
Ni kweli anachangamoto ya afya ya akili
Lingine nasikia huyu sawa na Katuga na genge lake ni wahitimu wa shahada za sheria UDSM mayooooo.
Kazi yake kuu ni ulinzi na usalama nchini ili nchi itawalike na watu na wali zao wawe salama, hayo mengine ni mwendelezo wa Oct29. Yaani kusema hakuna maandamano 7/7 ndiyo hana akili?

Ukiona adui yako anakutukana matusi makubwamakubwa furahi maana huo ndio mwisho wake.
 
Nimefurahi kusoma andiko la msomi asiye na uchawa.Umeandika pointi tupu.Wakizingatia haya Taifa litapata watu sahihi.
 
Tuwakumbushe nini wanachotakiwa kufanya kwa jamii au tungoje wakosee tuwaweke ndani?
Ipi ni hekima/
Home affairs ni mama ya kila kitu ikiwemo maadili mema kwa jamii yote na kwa vizazi vijavyo,
#Dr.wa mchongo umenielewa!
 
Well said. Ila vita haina macho kwasababu risasi zinaruka tu bila kutumia GPS, zinaweza kupitiliza shabaha na kutua kokote.
Mtu yeyote kabla hajaruhusiwa kushika silaha,kwanza anafundishwa kulenga. GPO inaelekeza namna ya matumizi ya silaha za moto kutuliza ghasia,unalenga miguuni to destabileze them,not shoot to kill. Wale wauaji wa October 29 ,ni changamoto ya afya akili!
Mtu mwenye akili timamu,hawezi kuua watu kivile!
P
 
Mwanzo nilidhani ni ushamba unamsumbua lakini kila uchao tunaona ni zaidi ya hilo
Ni kweli anachangamoto ya afya ya akili
Lingine nasikia huyu sawa na Katuga na genge lake ni wahitimu wa shahada za sheria UDSM mayooooo.
Tuwakumbushe nini wanachotakiwa kufanya kwa jamii au tungoje wakosee tuwaweke ndani?
Ipi ni hekima/
Home affairs ni mama ya kila kitu ikiwemo maadili mema kwa jamii yote na kwa vizazi vijavyo,
#Dr.wa mchongo umenielewa!
 
Nchi imejaza viongozi kibao ambao hawajui wanafanya nini maofisini
Tuwakumbushe nini wanachotakiwa kufanya kwa jamii au tungoje wakosee tuwaweke ndani?
Ipi ni hekima/
Home affairs ni mama ya kila kitu ikiwemo maadili mema kwa jamii yote na kwa vizazi vijavyo,
#Dr.wa mchongo umenielewa!
 
Ni kweli umemaliza kila kitu Dr.

Katambi ana matatizo ya Afya ya akili.....maamuzi yake ni ya kukurupuka ,aina hii ya viongozi hawafai wanaweza kufanya maamuzi yakaja kuathiri jamii kwa ukubwa...Yaani afande sele ametoa maoni Positive lakini Katambi amepanic sana...Dudubaya kasema hawezi kukaa na mashoga sehemu moja ni maamuzi yake ilitakiwa Katambi kwa busara angemjibu basi aende yeye peke yake na si kuagizwa akamatwe na Dudubaya alivyoona Katambi kapanic(Afya ya akili) ikabidi awaambie maaskari wasimtafute ataenda yeye mwenyewe wasije wakatumia resources nyingi kwa vitu very very very minor.
 
Nasikia watuhumiwa wa jinai wamepewa hela ya lunch 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…