Ni Aidha Katambi ana changamoto ya Afya ya Akili au Obsession au amekosa objective na Mission kwenye Wizara yake

Muda si mrefu toka Sasa utaona katambi anafurushwa maana kumekua na kelele nyingi juu yake ndio ivyoo anafukuzwa muda si mrefuu
 
Atafanyaje sasa akideal na watekaji na yeye atumbuka bora adeal na ukenge tu refer simba chawene
 
Ndugu usirudi Tanzania wataku-Ally kibao
 
Uchaguzi Mkuu ni tukio la Kikatiba kila baada ya miaka 5. Wakati wa tukio hili la uchaguzi vyombo vyoote vya ulinzi na usalama huwa viko standby kuhakikisha ushaguzi unaaza na kumalizika salama. Hivyo, ili mtu aweze kuuvuruga uchaguzi usifanyike nchi nzima unadhani wewe mtu huyo ni lazima atumie nguvu kubwa kiasi gani ili kufanikiwa kuuzuia?

Bila shaka maandalizi ya kuuzuia yalikuwa kabambe sana kwakuwa walikuwa unajua ugumu wa zoezi lenyewe. Sishangai kusikia tume ikisema askari 17 waliuliwa kwenye vurugu zile. Kama askari anakufa sembuse raia kama mimi?
 
Kwanini unapenda kurudia rudia kilichomo kwenye Bandiko kaka?
Inashangaza kusikia mtu akisema watu wanatekwa sana lakini yeye na mkewe hawajatekwa na hajiulizi kwanini yeye na mkewe hawajatekwa kama watu wanatekwa ovyo kila siku.
 
Inashangaza kusikia mtu akisema watu wanatekwa sana lakini yeye na mkewe hawajatekwa na hajiulizi kwanini yeye na mkewe hawajatekwa kama watu wanatekwa ovyo kila siku.
Ulitaka population yote ya waTanzania wote kwa pamoja watekwe ndio uamini kuna utekaji? Fala wewe tumia bichwa lako kufikiri..
 
Hata wanaoandika humu jf kwa kufisha majina yao halisi ni wagonjwa wa akili vilevile unaowatesa. Jina lako halisi ni Mrema lakini unajiita megalodon hiyo ni aina ya psychotic disorders. Na wewe una shida ya akili bro. Katambi anafanyazi kulingana na job description yake wewe ndiye mwenye shida kichwani.
 
Hahaaa wewe Kavulata jina lako halisi???... Moderator huyu mjinga hajarespect privacy ya mtoa mada apewe ban.....kutafuta real ID zinazowakosoa ni afya ya akili hitilafu...go and see psychiatrist..
 
Ulitaka population yote ya Tanzania wote kwa pamoja ndio uamini kuna utekaji? Fala wewe tumia bichwa lako kufikiri..
MImi ninaposikia mtu katekwa maswali yangu ni nani katekwa, nani amemtaka na ametekwa kwasababu gani? Mtu mwenye akili yenye afya lazima atatafuta majibu ya maswali haya kwanza.

Mfano, kwanini nisikuteke wewe uliyekata kiganja cha ndugu yangu mwenye ulemavu wa ngozi? Kwanini nikuteke wewe uliyekata nyeti za mwanangu wa kike kishirikina? Kwanini niskuteke wawe unaetembea na mke wangu?, kwanini usitekwa wewe unaekula njama ya kuipindua serikali ili tupate taarifa zaidi kuhusu hilo?
 
Kujiita King Kong III ndio ugonjwa wa akili wenyewe. Mbona kaka Pascal Mayalla na Kavulata wanatumia majina yao bila hofu na hawajatekwa pamoja na kukosoa kwao kote wanakofanya?

Pascal ana afya nyema ya akili, the rest ni mauzauza tu. Fear of unknown origin.
 
Kwa nini sasa wanaotekwa ni wakosoaji wa serikali yako akina mdude nyangali,polepole etc..? Kama una afya ya akili utakuwa ume observe hii pattern kuwa wanaotekwa.ni wale brave people waliokuja wazi kukosoa serikali ya ccm. Nani ameteka ni kujitoa ufahamu..

.Kuwa ccm haimaanishi uwe insensitive!..watu wametekwa for real afu unaleta ushubwada...nenda front kwenye Mike au vyombo vya habari open ukikosoa serikali ya mama Samia afu ndio utajua kama kuna utekaji ama la....pumbafu!
 
Daah!! Kama ukiikosoa tu serikali unatekwa basi humu jf tungeshatekwa wote. Kama kila anaokosoa CCM na serikali anatekwa basi akina Mzee Warioba, Dr. Slaa, Mpina, Mnyika, Heche, Mbatia, na wewe mngeshatekwa siku nyingi sana. Usitetee kitu ambacho huwezi kukitolea ushahidi kama ukifikishwa mahakamani. Mnyika na Golugwa walipobanwa waseme kwanini wanasema kesi ya Lissu ni kesi ya uongo walibaki kukenua tu. Ukiambiwa uthibitishe kuwa Katambi ana shida ya afya ya akili utasema unaonewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…