Nilishaona mgonjwa wa akili akijiita yeye ni Mandela kwakuwa amefugwa kamba mikononi na miguuni na kuwekwa chumba cha peke yake kwasababu ya fujo zake.Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.
Katika definition simple kabisa Afya ya akili ni excessive characters zinazokutoa kwenye reality ya maisha ya kawaida .
Sijakaa na Katambi kujua hasa specific symptoms zake lakini trend ya matukio yake na obsession zake hakika zina raise concern na kuhoji uwezo wake wa kufikiri, decision making , mental strength , ethical considerations na judgmental.
Wakati mwingine nikimuangalia katambi nina Ona mtu mwenye afya ya akili kwa kipindi kirefu cha miaka ya nyuma: Yaani historically aliwahi kuwa na mental issues just as JPM background.
Niliwahi kushauri kuwa VETTING za utumishi ziwe scientifical - kuna mataahira wengi kwenye public offices halafu wanapewa dhamana kubwa. Ni katambi huyu huyu i think alishawahi kutaka kupigana na raia, mwenye clip aiweke
that should raise suspicion kwenye mamlaka za teuzi.
Behavior za katambi zina fall under category ya Mental diagnosis
huu sio utabiri…, ni probability - 45% ( 0.45) chances Katambi ana fall under Afya ya akili — hayupo sawa ! Utumishi fanyeni scientifical Vetting…
Hii ni mara ya pili mfululizo kila mission anayokuja nayo Katambi kwenye jamii ina create debate kubwa sana juu ya uhalali wake kisheria kufanya hayo
Kwa mfano, observe vema response yake juu ya Dudu baya alipochomoa kwenda kwenye mkutano wake kinyume na taratibu, ethics na uhalali wake wa kufanya hivyo.
I wonder kama huyu waziri anashirikisha wataalam wake na wanasheria wa ndani kabla ya kuja in public…,,
watu wanatekwa kila uchao, polisi wanakamata raia na wanafia mikononi mwao… that doesn’t bother him ….
Ifike time wasanii mpuuze wito wa huuyu mtu anawapotezea muda na anadhalilisha utu wenu mbele ya familia zenu
Dr Megalodon Mushi, MD, Mmed, PhD
University of Ottawa
Canada
Rue 52, downtown
Heheee kwani ukimuona chizi anakimbia uko nje utajiuliza huyu ni chizi? Ngoja nithibitishe kuwa huyu ni chizi?!..Kuna pressing issues kama utekaji nchini unaenda kuita press kukaa na kina Gigy! Kama hii sio attention seeking behaviour (ambayo ni moja ya uchizi) then itakuwa ni nini? Kwa taarifa yako hata huko mental hospital sio kwamba unapewa diagnosis hapo hapo ukienda kuwaona. Ni observation ya behaviours over time ndio unapewa Diagnosis! Na sisi tumeobserve ujinga wa Katambi tuka conclude sio mzima. Haihitaji science ni everyday observation, normal psychology...hujiulizi mbona sio waziri wengine but Katambi?!Daah!! Kama ukiikosoa tu serikali unatekwa basi humu jf tungeshatekwa wote. Kama kila anaokosoa CCM na serikali anatekwa basi akina Mzee Warioba, Dr. Slaa, Mpina, Mnyika, Heche, Mbatia, na wewe mngeshatekwa siku nyingi sana. Usitetee kitu ambacho huwezi kukitolea ushahidi kama ukifikishwa mahakamani. Mnyika na Golugwa walipobanwa waseme kwanini wanasema kesi ya Lissu ni kesi ya uongo walibaki kukenua tu. Ukiambiwa uthibitishe kuwa Katambi ana shida ya afya ya akili utasema unaonewa?
😂😂😂😂😂😂😂😂Afya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.
Kweli na uzuri wake mwingine wote wanahitaji matibabu ya aina Moja!ila wanakuwa hawajakosea maana wote wanakuwa wagonjwa na wamesema kweli kwamba yule n mgonjwa
POlepole ana shida ya afya ya akili nadhani, nani alijua kuwa yuko nchini hapa? Unawezaje kuwa nchini halafu useme yale aliyokuwa akiyasema? Kujiamini kupitiliza ni ugonjwa wa akili unaoitwa overconfidenciasis. Hata nguchilo asingefanya vile. Ukimuona nguchilo ana confidence ya kupitiliza ujue yuko karibu na mashimo yake kwa usalama.Heheee kwani ukimuona chizi anakimbia uko nje utajiuliza huyu ni chizi? Ngoja nithibitishe kuwa huyu ni chizi?!..Kuna pressing issues kama utekaji nchini unaenda kuita press kukaa na kina Gigy! Kama hii sio attention seeking behaviour (ambayo ni moja ya uchizi) then itakuwa ni nini? Kwa taarifa yako hata huko mental hospital sio kwamba unapewa diagnosis hapo hapo ukienda kuwaona. Ni observation ya behaviours over time ndio unapewa Diagnosis! Na sisi tumeobserve ujinga wa Katambi tuka conclude sio mzima. Haihitaji science ni everyday observation, normal psychology...hujiulizi mbona sio waziri wengine but Katambi?!
Pattern ya waliotekwa ni wakosoaji wa serikali! Moja; mimi na wewe tukiendelea kukosoa haimaanishi tutakuwa spared wakiamua in the future, so, kutotekwa sasa hivi haimaanishi hakunaa utekaji unaoendelea.
Mbili; mimi na wewe kutotekwa hakushushi ukweli kuwa kuna waliotekwa! Akina polepole, this is not some fiction ni reality, na kwa kuwa waliopotezwa ni wakosoaji wa serikali, tunahitimisha serikali ina mkono wake, ni simple every day observation/conclusion una maelezo tofauti kuhusu huu utekaji useme.
wewe unaosha vizee vya kizungu huko umekimbia nchi yako kwa kutokujua fursa halafu yeye ni waziri, sasa nani ana changamoto ya afya ya akiliAfya ya akili kwa sasa ni Tatizo kubwa kwa watu wa maofisini na baadhi ya wasomi.
Mke wake hana kinyaa, anakulaje denda na kinywa hicho utafikiri anakula mavi ya ng'ombe.Hii picha inaonekana mheshimiwa alikua hasafishi kinywa? Mbona Meno yako ktk hali hiyo?
Mmmmh.
Kwa hiyo mtu akisema ajali za bodaboda zinaua sana utamuuliza mbona wewe na mkeo hamjafa!? F_ck U.Inashangaza kusikia mtu akisema watu wanatekwa sana lakini yeye na mkewe hawajatekwa na hajiulizi kwanini yeye na mkewe hawajatekwa kama watu wanatekwa ovyo kila siku.
Huyo jamaa ni mpumbavu kabisa. Unaweza kuta na yeye ni mmoja wa wanafanya hizi operation kichaa za kuwapoteza watu .Ulitaka population yote ya waTanzania wote kwa pamoja watekwe ndio uamini kuna utekaji? Fala wewe tumia bichwa lako kufikiri..
Anasahau kuna askari waliokuwa wamevaa kiraia kama yule Magereza naye aliuawa kwa risasi za askari wenzake vichaahakuna picha yoyote mnato au mjongeo ikionyesha askari anashambuliwa, au amekufa, hao wote 17 wamekufa kwenye friendly fire, due to ile random sporadic shootout.
P
Umezaliwa kipindi cha utumwa au mbona mkubwa mzima lakini una akili za kishenzi hivi?MImi ninaposikia mtu katekwa maswali yangu ni nani katekwa, nani amemtaka na ametekwa kwasababu gani? Mtu mwenye akili yenye afya lazima atatafuta majibu ya maswali haya kwanza.
Mfano, kwanini nisikuteke wewe uliyekata kiganja cha ndugu yangu mwenye ulemavu wa ngozi? Kwanini nikuteke wewe uliyekata nyeti za mwanangu wa kike kishirikina? Kwanini niskuteke wawe unaetembea na mke wangu?, kwanini usitekwa wewe unaekula njama ya kuipindua serikali ili tupate taarifa zaidi kuhusu hilo?
Polepole alifanya kosa lipi kubwa ambalo hakuna mahakama inaweza kumhukumu ?..POlepole ana shida ya afya ya akili nadhani, nani alijua kuwa yuko nchini hapa? Unawezaje kuwa nchini halafu useme yale aliyokuwa akiyasema? Kujiamini kupitiliza ni ugonjwa wa akili unaoitwa overconfidenciasis. Hata nguchilo asingefanya vile. Ukimuona nguchilo ana confidence ya kupitiliza ujue yuko karibu na mashimo yake kwa usalama.
😂😂😂😂😂😂😂😂Mwigulu Madelu NCHEMBA pia ana tatizo hilo kubwa sana. Hana tofauti sana na huyo Kitambi au Katambi.
Kwa hiyo mtu akisema ajali za bodaboda zinaua sana utamuuliza mbona wewe na mkeo hamjafa!? F_ck U.
Kama wewe unao uhakika na ushahidi wa wanatekwa kwasababu gani na anaewateka nini epukana na sababu hizo ili usitekwe. Tumia muda wako kuwaelimisha watu namna ya kuepuka kutekwa.Huyo jamaa ni mpumbavu kabisa. Unaweza kuta na yeye ni mmoja wa wanafanya hizi operation kichaa za kuwapoteza watu .
Hamia nchi ambako watu wako huru kama molecules angani.Umezaliwa kipindi cha utumwa au mbona mkubwa mzima lakini una akili za kishenzi hivi?
Bomoeni mahakama zote na vituo vya polisi ili tuhalalishe kutekana na kupelekana kusikojulikana, msisahau kufungua vituo vya kuuza tindikali ili wengine tuwafanye kama mlivyomfanya mzee Ally Kibao.
IDIOT!!
Umezaliwa kipindi cha utumwa au mbona mkubwa mzima lakini una akili za kishenzi hivi?
Bomoeni mahakama zote na vituo vya polisi ili tuhalalishe kutekana na kupelekana kusikojulikana, msisahau kufungua vituo vya kuuza tindikali ili wengine tuwafanye kama mlivyomfanya mzee Ally Kibao.
IDIOT!!
Yupi mwenye changamoto ya akili? Yule aliyebeba bunduki aka shoot to kill ama aliyetoa oda ya kuamrisha waliobeba silaha washoot to kill?Mtu yeyote kabla hajaruhusiwa kushika silaha,kwanza anafundishwa kulenga. GPO inaelekeza namna ya matumizi ya silaha za moto kutuliza ghasia,unalenga miguuni to destabileze them,not shoot to kill. Wale wauaji wa October 29 ,ni changamoto ya afya akili!
Mtu mwenye akili timamu,hawezi kuua watu kivile!
P