Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

Mkuu Hapa umetema madini mazuri Sana hakika.
 
Apa ndio kale kamsemo ka kwamba kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake 🤣
 
Ila ukikutana na mashine ya maana utatoa tu na hutojuta!
 
Hata hivyo havinaga muda 😀 Hata uwe na mvuto na pesa kunasiku utapigiwa na mwenye nguvu zaid yako STAY SINGLE FOR YOUR WELL HEALTH BEING
In short
KATAA MAHUSIANO
Nature ya mwanamume aliekamilika hairuhusu kua single boss
 
Kuna uzuri WA Mwanamke na uzuri WA mwanaume.
Kuhusu uhalali wa uzuri hiyo Sheria ya kusema Mwanamke ndio anatakiwa kuwa mzuri umeitolea wapi?
Ukiangalia nature, viumbe madume ndio Wazuri na wanamvuto kuliko majike.
hili nakuunga mkono kabisaaa...mfano mzuri ni kuku, tausi, simba na njiwa.....na hata kwenye maandiko wateule wa MUNGU wengi wamesifiwa kwa mvuto wa sura na muonekano, mfano, Suleiman, daudi,mfalme sauli na yusuphu...kasoro tu mzee wa kazi,ngumi jiwe,kiboko ya wababe, Samson 😂😂🤣...
 

Naam
 
Samahani kwa usumbufu mkuu, hivyo vyote sio muhimu sana kama bado HAUNA NGUVU ZA KIUME THABITI.

Hii ndo center bolt ya mahusiano, ikiwa una mvuto na pesa bila nguvu za ushiriki n sawa na bahari bila Maji, Tanzania bila ccm etc[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa bhana pesa ndio kila kitu...
Pesa ndio mpango mzima.
Ukizikosa hata ndugu wanakuchukulia poa bado marafiki esp wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…