Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

Mkuu katika Lecture zako uliwahi kutuambia tusiwape hela Hawa viumbe na tutafute hela kwa ajili yetu isipokuwa mke halali

Mimi huwa naandikaga katika diary baadhi ya Lecture zako so naendelea kuzingatia maokoto yangu hayamuhusu Mwanamke labda nikioa tu
Hiii imeeenda...
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Utapata kihoro chief wape tu
Hahaa..
FB_IMG_1699089799229.jpg
 
Wanaume wote walioishi maisha yao kuwafurahisha na kuwaridhisha wanawake wote wameangamia na wengine wapo kwenye majuto makuu.......

Mwanaume jifunze sana kuuzuia moyo wako kwenye Yale mambo yaliyo nje ya uwezo wako.......

Kwenye maisha usiishi kushindana au kubishana na mwanamke abakie kwenye maisha yako.....mpe machaguo ili abakie kwa khiyari yake na aondoke kwa khiyari yake.......
Hii imeenda...
 
kweli kabisa ukichunguza asilimia kubwa ya wanaonunua ngono kwa Ma sex workers ni watu ambao vipato vyao ni duni hawawezi ku afford kumhudumia mwanamke parmanent
Usijidanganye mkuu kuwa una uwezo wa kuhudumia Ke. Ndio mnakuja kufyatua risasi vijana waliowazidi kete.. Simps wana njia nyingi za kujustify upumbavu wao..
Oya mpe chake na yeye akupe chako maisha yaendelee unachelewa kuelewa kuwa mwanamke sio mtu bali bidhaa..
 
Back
Top Bottom