Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

Yaani bila pesa kwa mahusiano ya sasa sahau furaha na amani. Iwe mke wa ndoa au side chick, it's all about money.

Ndio maana watu wamegeukia kufanya biashara(buy/sell), nikiwa na kiasi fulani I know naweza lipia lodge, chakula na vinywaji..then nakula pussy nalipia kidogo naenda home. Ila mahusiano yanahitaji uwekezaji wa rasilimali fedha.
 
mi tangu demu niliye mtongozaga mwaka 1993 badala ya kunijibu kwa barua,alisubili nimeenda kwa rafiki yangu kumbe rafiki yangu ndo alikuwa ana mla.kilichofatia nilimuona anamushika shika jamaa kifuani na jamaa alikuwa mtoto wa mkuu wa wilaya akanigeukia akaniambia flani sikupenda iwe hivyo ila ninaye nimpendaye kwa dhati kwakweli nilijiona aibu mbele za watu wale nilijiona sina thamani tena,kuanzia hapo hisia kwa wanawake zikapotea msije mkaa sema ni shogaa mirijali kabisa ila nawachukia wanawake nikawaona hawana akiri nikawadharau wanawake wote duniani mpaka sasa nawaona wanawake ni wapumbafu tu .chakushangaza yule mtoto wa mkuu wa wilaya hakulioa likaolewa na msukuma mshamba uzuri alokuwa nao ushayeyuka ,asaiv amebaki kujipendekeza tu kwangu mi namchora tu.
 
Binafsi siwezi kumpa Mwanamke kitu kinachoitwa PESA hii ni kanuni yangu ambayo nilianza kuishi kabla sijabalehe mpaka leo 26yrs

Sisi wengine starehe zetu nikuzipata hizo pesa na sio wanawake so personal namshukuru Mungu kwa Hilo.
Safi kabisa principal.... nzuri sana hiyo hukuna kumpa mwanamke pesa.
 
mi tangu demu niliye mtongozaga mwaka 1993 badala ya kunijibu kwa barua,alisubili nimeenda kwa rafiki yangu kumbe rafiki yangu ndo alikuwa ana mla.kilichofatia nilimuona anamushika shika jamaa kifuani na jamaa alikuwa mtoto wa mkuu wa wilaya akanigeukia akaniambia flani sikupenda iwe hivyo ila ninaye nimpendaye kwa dhati kwakweli nilijiona aibu mbele za watu wale nilijiona sina thamani tena,kuanzia hapo hisia kwa wanawake zikapotea msije mkaa sema ni shogaa mirijali kabisa ila nawachukia wanawake nikawaona hawana akiri nikawadharau wanawake wote duniani mpaka sasa nawaona wanawake ni wapumbafu tu .chakushangaza yule mtoto wa mkuu wa wilaya hakulioa likaolewa na msukuma mshamba uzuri alokuwa nao ushayeyuka ,asaiv amebaki kujipendekeza tu kwangu mi namchora tu.
1993 😳😳 shkamoo uncle
 
Kwema Wakuu!

Weka akilini, mwanaume hujaumbwa kuchekacheka, ku-relax. Wanasema wanaume tumeumbwa Mateso na kuhangaika(mwimbaji Fulani aliimba).

Wanawake hawatakuchekea wala kukuonea huruma ukikosa hayo mambo mawili au kimojawapo. Watakudharau, watakudhihaki, watakutumikisha na kukufanya msukule wao, watahakikisha unateseka haswa.

Jambo moja ambalo wanawake wengi wanalo ni kuwa; hawana busara na hekima imewapita mbali ndio maana wanakosa huruma na watakuchana makavu pasipo kupepesa macho.

Utasikia, nikupeleke wapi na umaskini wako? Unanuka umaskini pyuu! Huna muonekano, wala hauvutii, unataka nichekwe. Unataka nizae Watoto wanilaumu. Bora hata ingekuwa unapesa kidogo kingekufikiria. Unaniletea mikosi yako tuu.

Ukishajijua huna mvuto, jitahidi utafute Pesa. Sio uwe nazo nyingi hapana, angalau zinazokutosha wewe na watu wengine kama watano hivi.

Kama vile wanaume tulivyo, ndivyo Wanawake walivyo. Nao wanapenda wanaume Wazuri, wanasisimkwa wakiona mwanaume mzuri. Wanababaika na unaweza kuwababaisha ikiwa tuu unamvuto au Una Mawe, lumbelele, shekeli au Pesa.

Kwa mwanamke utachagua option mbili ili uishi naye kwenye ndoa. Akupende sana au akuogope sana.

Mwanamke ili akupende lazima uwe dream husband wake, na moja ya vigezo vya dream husband Kwa wengi ni uzuri na mvuto. Achana na ule unafiki wao kwamba hawavutiwi na uzuri, huo ni Uongo tuu.

Ni sawa na wale wanaume wanaosema hawataki wanawake wazuri, wanatania na inaitwa sizitaki mbichi hizi.

Mwanamke anataka wenzake wamsifie pindi akiwa na wewe. Wamuoñee wivu, watake kumpindua, kisa yupo na mwanaume ambaye ni ndoto ya wanawake wengi.

Hapo ni aidha uwe na pesa (uzuri wa pesa) wanaita uzuri bandia, au uwe na uzuri wa asili ambao utazaliwa nao.

Karibuni kwa maoni.
Muongo mbona kuna marasta kibao wala ngada ,,macontawar na wana madem kibao tena ya kizungu wanakula nao maisha
 
Mkuu mbona Mimi Sina hizo pesa mixer mvuto wa kiasili afu bado mademu wanajigonga kwangu?
 
Back
Top Bottom