Lucky93
JF-Expert Member
- Jun 27, 2022
- 802
- 1,658
Wanakua wanakuona kama kibaka au jambaziMwanajeshi akiwa na Sura ya Kazi inavutia zaidi.
Hata Wanawake wanapenda.
Lakini Sura ya Kazi alafu kazi huna huoni hapo kuna tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakua wanakuona kama kibaka au jambaziMwanajeshi akiwa na Sura ya Kazi inavutia zaidi.
Hata Wanawake wanapenda.
Lakini Sura ya Kazi alafu kazi huna huoni hapo kuna tatizo
Cha msingi pia kumwomba MUNGU maana wengine zikitokea shida tu huwaoni ..... unafanya KILA kitu ila holaaKwema Wakuu!
Weka akilini, mwanaume hujaumbwa kuchekacheka, ku-relax. Wanasema wanaume tumeumbwa Mateso na kuhangaika(mwimbaji Fulani aliimba).
Wanawake hawatakuchekea wala kukuonea huruma ukikosa hayo mambo mawili au kimojawapo. Watakudharau, watakudhihaki, watakutumikisha na kukufanya msukule wao, watahakikisha unateseka haswa.
Jambo moja ambalo wanawake wengi wanalo ni kuwa; hawana busara na hekima imewapita mbali ndio maana wanakosa huruma na watakuchana makavu pasipo kupepesa macho.
Utasikia, nikupeleke wapi na umaskini wako? Unanuka umaskini pyuu! Huna muonekano, wala hauvutii, unataka nichekwe. Unataka nizae Watoto wanilaumu. Bora hata ingekuwa unapesa kidogo kingekufikiria. Unaniletea mikosi yako tuu.
Ukishajijua huna mvuto, jitahidi utafute Pesa. Sio uwe nazo nyingi hapana, angalau zinazokutosha wewe na watu wengine kama watano hivi.
Kama vile wanaume tulivyo, ndivyo Wanawake walivyo. Nao wanapenda wanaume Wazuri, wanasisimkwa wakiona mwanaume mzuri. Wanababaika na unaweza kuwababaisha ikiwa tuu unamvuto au Una Mawe, lumbelele, shekeli au Pesa.
Kwa mwanamke utachagua option mbili ili uishi naye kwenye ndoa. Akupende sana au akuogope sana.
Mwanamke ili akupende lazima uwe dream husband wake, na moja ya vigezo vya dream husband Kwa wengi ni uzuri na mvuto. Achana na ule unafiki wao kwamba hawavutiwi na uzuri, huo ni Uongo tuu.
Ni sawa na wale wanaume wanaosema hawataki wanawake wazuri, wanatania na inaitwa sizitaki mbichi hizi.
Mwanamke anataka wenzake wamsifie pindi akiwa na wewe. Wamuoñee wivu, watake kumpindua, kisa yupo na mwanaume ambaye ni ndoto ya wanawake wengi.
Hapo ni aidha uwe na pesa (uzuri wa pesa) wanaita uzuri bandia, au uwe na uzuri wa asili ambao utazaliwa nao.
Karibuni kwa maoni.
Tumekubaliana muhimu kuwa navyo vyote, ila bora ukosekane mvuto lkn PESA PESA PESA lazima iwepo 😉[emoji23][emoji23][emoji23] ikitokea vyote vikakosekana hakuna huruma hata kidogo?
Nyie kwenye vikao vyenu mmekubalianaje?
Kwanini mwanajeshi?Tena ukiwa Mwanaume Maskini usiye na mvuto Hii Dunia inakuwa ngumu zaidi.
Labda uwe Mwanajeshi itasaidia
Sura hata mbuzi anayo sio? Muhimu maokoto[emoji23][emoji23]Tumekubaliana muhimu kuwa navyo vyote, ila bora ukosekane mvuto lkn PESA PESA PESA lazima iwepo [emoji6]
Kwan tunakula sura?😂😂Sura hata mbuzi anayo sio? Muhimu maokoto[emoji23][emoji23]
mie sihusiki hukodronedrake uzi wako wa kula 5 zako huu hapa
Bila shaka wewe utakua mkinga au mchagga[emoji1787][emoji1787]Kwan tunakula sura?[emoji23][emoji23]
Kwanza sisi tunajua wanawake ndo tunatakiwa kuwa wazuri [emoji28]
Mi ndugu yake Shabani Madobe wa Zama 😂Bila shaka wewe utakua mkinga au mchagga[emoji1787][emoji1787]
Mnatuchanganya sana, maana muda mwingine mseme mnataka warefu. Mara mnataka mwenye show kali, mara mwenye mvuto, mara mwenye pesa.Mi ndugu yake Shabani Madobe wa Zama [emoji23]
Mi nataka pesa mengine tutaelekezana sisi watu wazima 😂Mnatuchanganya sana, maana muda mwingine mseme mnataka warefu. Mara mnataka mwenye show kali, mara mwenye mvuto, mara mwenye pesa.
Kwan tunakula sura?😂😂
Kwanza sisi tunajua wanawake ndo tunatakiwa kuwa wazuri 😅
Mvuto wa mwanaume ni upi, Mwanamke hawezi kuishi na wewe eti kwasababu una sura nzuri tu. Hayo yatakuwa mapenzi ya muda tu, kikubwa ni pesa au uwezo wa kumtunza mwanamke. Mengine stori za mitandao uzuri hauliwi
Kuna uzuri WA Mwanamke na uzuri WA mwanaume.
Kuhusu uhalali wa uzuri hiyo Sheria ya kusema Mwanamke ndio anatakiwa kuwa mzuri umeitolea wapi?
Ukiangalia nature, viumbe madume ndio Wazuri na wanamvuto kuliko majike.
Sawa madume wazuri muolewe [emoji23]