Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

Kuna kajamaa hakakua na sifa zote tajwa kwenye uzi aka akaingia kwenye ndoa na binti mrembo mwenye uwezo , mwisho wa siku jamaa kajipiga kitanzi kamwacha binti na kabendi , hili tukio halina ata siku 4 , vijana wajifunze.
 
Wanaume wote walioishi maisha yao kuwafurahisha na kuwaridhisha wanawake wote wameangamia na wengine wapo kwenye majuto makuu.......

Mwanaume jifunze sana kuuzuia moyo wako kwenye Yale mambo yaliyo nje ya uwezo wako.......

Kwenye maisha usiishi kushindana au kubishana na mwanamke abakie kwenye maisha yako.....mpe machaguo ili abakie kwa khiyari yake na aondoke kwa khiyari yake.......
 
Umemaliza mkuu mimi naona tuishie hapa
 
Naam [emoji91]
 
Ni lazima umvutie ili umpe hayo machaguo.
Kama humvutii hata hiyo nafasi ya kumpa machaguo afanye Kwa hiyari haitakuwepo.
 
Back
Top Bottom