Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Anaitwa tykon wa fasihi [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ukizaliwa mwanamke ila sio mwanaume ahsee mwanaume ni mateso eti dahTena ukiwa Mwanaume Maskini usiye na mvuto Hii Dunia inakuwa ngumu zaidi.
Labda uwe Mwanajeshi itasaidia
Bora ukizaliwa mwanamke ila sio mwanaume ahsee mwanaume ni mateso eti dah
vipi mkuu kuna tukio limekukuta nini?
vipi mkuu kuna tukio limekukuta nini?
Na tukisha kuwa na Hela wanaume Hatutaki Upendo wa kinafiki...
Demu anaye kupenda sababu ya pesa huyo ni Tapeli.
Niku wachezea na kuwaacha.
Upendo wa pesa ni Unafiki.
Piga demu, tembea.
Usiishi ili kumvutia mwanamke bali ishi maisha yako na yeye akipendezwa nayo ndio muingie mikataba yenye uhalisia.....
Hivi ndio vitu mnapaswa kudiscuss kwenye vikao vyenu wanaume 😍
Countrywide
Braza kupelekewa moto sio mchezo bora tu kuzaliwa mwanaume hapo bado hujazaa kwa oparesheni mala hedhi kila mwezii weeeBora ukizaliwa mwanamke ila sio mwanaume ahsee mwanaume ni mateso eti dah
[emoji23][emoji23][emoji23] ikitokea vyote vikakosekana hakuna huruma hata kidogo?Hivi ndio vitu mnapaswa kudiscuss kwenye vikao vyenu wanaume [emoji7]
Countrywide
🤣🤣🤣Tena ukiwa Mwanaume Maskini usiye na mvuto Hii Dunia inakuwa ngumu zaidi.
Labda uwe Mwanajeshi itasaidia
Mwisho wa siku kugongewa kuko pale paleKwema Wakuu!
Weka akilini, mwanaume hujaumbwa kuchekacheka, ku-relax. Wanasema wanaume tumeumbwa Mateso na kuhangaika(mwimbaji Fulani aliimba).
Wanawake hawatakuchekea wala kukuonea huruma ukikosa hayo mambo mawili au kimojawapo. Watakudharau, watakudhihaki, watakutumikisha na kukufanya msukule wao, watahakikisha unateseka haswa.
Jambo moja ambalo wanawake wengi wanalo ni kuwa; hawana busara na hekima imewapita mbali ndio maana wanakosa huruma na watakuchana makavu pasipo kupepesa macho.
Utasikia, nikupeleke wapi na umaskini wako? Unanuka umaskini pyuu! Huna muonekano, wala hauvutii, unataka nichekwe. Unataka nizae Watoto wanilaumu. Bora hata ingekuwa unapesa kidogo kingekufikiria. Unaniletea mikosi yako tuu.
Ukishajijua huna mvuto, jitahidi utafute Pesa. Sio uwe nazo nyingi hapana, angalau zinazokutosha wewe na watu wengine kama watano hivi.
Kama vile wanaume tulivyo, ndivyo Wanawake walivyo. Nao wanapenda wanaume Wazuri, wanasisimkwa wakiona mwanaume mzuri. Wanababaika na unaweza kuwababaisha ikiwa tuu unamvuto au Una Mawe, lumbelele, shekeli au Pesa.
Kwa mwanamke utachagua option mbili ili uishi naye kwenye ndoa. Akupende sana au akuogope sana.
Mwanamke ili akupende lazima uwe dream husband wake, na moja ya vigezo vya dream husband Kwa wengi ni uzuri na mvuto. Achana na ule unafiki wao kwamba hawavutiwi na uzuri, huo ni Uongo tuu.
Ni sawa na wale wanaume wanaosema hawataki wanawake wazuri, wanatania na inaitwa sizitaki mbichi hizi.
Mwanamke anataka wenzake wamsifie pindi akiwa na wewe. Wamuoñee wivu, watake kumpindua, kisa yupo na mwanaume ambaye ni ndoto ya wanawake wengi.
Hapo ni aidha uwe na pesa (uzuri wa pesa) wanaita uzuri bandia, au uwe na uzuri wa asili ambao utazaliwa nao.
Karibuni kwa maoni.
AahaaaaHata kanisani wanakutenga kapu la kuchangia halipiti kwako
Mwanaume mzuri yupoje mkuu?Kwema Wakuu!

Hili nakubaliana na wewe 💯 binafsi limenitokea, hadi leo hii kuna maeneo nikienda wale walionijua kabla huwa wananiuliza nini kimenipata kwa jinsi dunia ilivyonichakaza kwa sasaHuwezi kuwa na mvuto kama hauna pesa
[emoji1][emoji1]hautaki shida manKama sina pesa na sina mvuto nitatafuta wa kufanana nae mbona wapo wengi tuu wanawake wasio na mvuto