Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

Binafsi siwezi kumpa Mwanamke kitu kinachoitwa PESA hii ni kanuni yangu ambayo nilianza kuishi kabla sijabalehe mpaka leo 26yrs

Sisi wengine starehe zetu nikuzipata hizo pesa na sio wanawake so personal namshukuru Mungu kwa Hilo.
 
Na Mwanamke akijua Jambo hili wengi hupenda kujipa umuhimu hivyo lazima wajigonge, hasa uwe na kijikazi mshenzi cha Kupata tulaki nane, sijui Saba.
Mwishowe wakuchukie alafu wakutafutie target wakuloge ufe
 
Mkuu katika Lecture zako uliwahi kutuambia tusiwape hela Hawa viumbe na tutafute hela kwa ajili yetu isipokuwa mke halali

Mimi huwa naandikaga katika diary baadhi ya Lecture zako so naendelea kuzingatia maokoto yangu hayamuhusu Mwanamke labda nikioa tu
 
Kama sio Mkeo Kwa nini umpe?
Dhambi uchume,
Magonjwa unusurike
Mimba usizotarajia zikukosekose.
Then utoe Pesa.

Labda uwe Mzee au Akili haina ufanisi
 
Back
Top Bottom