Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

vp waweza weka picha
 
[emoji57]
 
Hii subwoofer spika ni 100 watts RMS!

Zile satellite speakers zake ni 25w kila moja. Wanaandikaga 25w x 2 kwenye boksi lake.

Kwahio jumla yake ni 150watts RMS system.
Sub ni 100w @ 2ohm, yaani ni saw na sub ya 50w @4-6ohm
 
Kama ni ya muundo huu ni hatari san chif, zinagonga yaan music unaufeel kwelikweli[emoji119] . Yaan zinagonga hatari
 
Ukitaka kusikiliza music nunua home theatre ukitaka makelele ya vigodorona minanda nunua subwoofer.... PERIOD
 
Ngoja waje kukupa muongozo...


Sp-1002 ndio model yake

2.1 channel
Hi itakua jibu lako
Mashine ina 2ohms bass speaker
Hi ni full digital
Ina LINE IN
BLUETOOTH
MP3 PLAYER
FM RADIO
EQULIZER
Ili idumu muda mrefu fanya yafuatayo
1 usichajie simu sehemu ya frash
2 usiruhusu mende kuingia ndani
3 panya wasiingie ndani hua wanakula speaker
4 usipige muda mrefu ikiwa sauti mwisho
(Yaan masaa6,7) mala kwa mala
Usiongeze speaker zingine zaidi ya zile ilizokuja nazo
Faida yake n kua full digital operations
Pia ina muonekano bomba wakupendeza
Musiywake n kubwa mzito wa radha
Ikiharibika huitaji kutengeneza kitu[emoji23]
Ndani ina ramani mbili tu
1transfoma
2 amplifier
Ambazo ikiungua tansfoma utanunua utapachika tu
Sawa na amp pia unanunua unapachika tu kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…