Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

Brother mim ni fundi wa haya masabufa
kifupi nafaham a~z ya hizi mambo
kwanza fahamu kuwa seapiano au aborda sio kiwanda cha kutengeneza sabufa ila ni suply tu wa masabufa yani anachukua toka shanghai china na india huko
alafu wanazipa stika ndo wewe unaona hiyo sea piano au aborda


kitu muhimu kufata brother kuna seapiano furani adimu kwa sasa ila ziko poa SANA yani nasemea kwenye hardware zake yani circuit yake
kuna sabufa hasa zakisasa yani hardware yake circuit yake ipo kama ya simu hivi
hyo redio usijaribu kununua sababu ikiharibika hazitengnezeki
jinsi yakuijua ukifika dukani igeuze nyuma huku ...ukikuta ina kiplastiki furani cha pembe nne hivi p ambapo hapo kwenye kiplastiki pana pini za kutolea twita na aux pembeni kuna nati iyo usinunue
ila ukikuta nati zipo pembeni kabsa hyo waweza nunua
ukiweza ni pm nkpgie nkupe maelekezo vema


Voxser empire
vp waweza weka picha
 
Kwani mkuu sauti unataka isibaki ndani ya nyumba we unataka ifike wapi???au ni mimi sijaelewa point yako labda?!

Kwamba uwaburudishe walio nje ya nyumba yako wakati umeme unanunua mwenyewe au sometimes uwakere sasa kuna faida gani?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
[emoji57]
 
Hii subwoofer spika ni 100 watts RMS!

Zile satellite speakers zake ni 25w kila moja. Wanaandikaga 25w x 2 kwenye boksi lake.

Kwahio jumla yake ni 150watts RMS system.
Sub ni 100w @ 2ohm, yaani ni saw na sub ya 50w @4-6ohm
 
Kama ni ya muundo huu ni hatari san chif, zinagonga yaan music unaufeel kwelikweli[emoji119] . Yaan zinagonga hatari
JPEG_20210201_155615_3325590001716837926.jpg
 
Ukitaka kusikiliza music nunua home theatre ukitaka makelele ya vigodorona minanda nunua subwoofer.... PERIOD
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

IMG_4794.png

Sp-1002 ndio model yake

2.1 channel
Hi itakua jibu lako
Mashine ina 2ohms bass speaker
Hi ni full digital
Ina LINE IN
BLUETOOTH
MP3 PLAYER
FM RADIO
EQULIZER
Ili idumu muda mrefu fanya yafuatayo
1 usichajie simu sehemu ya frash
2 usiruhusu mende kuingia ndani
3 panya wasiingie ndani hua wanakula speaker
4 usipige muda mrefu ikiwa sauti mwisho
(Yaan masaa6,7) mala kwa mala
Usiongeze speaker zingine zaidi ya zile ilizokuja nazo
Faida yake n kua full digital operations
Pia ina muonekano bomba wakupendeza
Musiywake n kubwa mzito wa radha
Ikiharibika huitaji kutengeneza kitu[emoji23]
Ndani ina ramani mbili tu
1transfoma
2 amplifier
Ambazo ikiungua tansfoma utanunua utapachika tu
Sawa na amp pia unanunua unapachika tu kama kawaida
 
Back
Top Bottom