Ngoja waje kukupa muongozo...
Sp-1002 ndio model yake
2.1 channel
Hi itakua jibu lako
Mashine ina 2ohms bass speaker
Hi ni full digital
Ina LINE IN
BLUETOOTH
MP3 PLAYER
FM RADIO
EQULIZER
Ili idumu muda mrefu fanya yafuatayo
1 usichajie simu sehemu ya frash
2 usiruhusu mende kuingia ndani
3 panya wasiingie ndani hua wanakula speaker
4 usipige muda mrefu ikiwa sauti mwisho
(Yaan masaa6,7) mala kwa mala
Usiongeze speaker zingine zaidi ya zile ilizokuja nazo
Faida yake n kua full digital operations
Pia ina muonekano bomba wakupendeza
Musiywake n kubwa mzito wa radha
Ikiharibika huitaji kutengeneza kitu[emoji23]
Ndani ina ramani mbili tu
1transfoma
2 amplifier
Ambazo ikiungua tansfoma utanunua utapachika tu
Sawa na amp pia unanunua unapachika tu kama kawaida