Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

Kaa kimya wewe unajifanya mlokole wakati unaishabikia ccm?!
 
Ili umteke?
Sina huo muda. Mimi nawatafuta walionaswa katika mtego wa Ibilisi niwape habari njema...
"...ili kama ikiwezekana, Mungu awajalie ili watubu na kuijua kweli; wapate tena fahamu zao, na kutoka katika mtego wa Ibilisi, ambaye amewanasa, hata wakayafanya mapenzi yake." (2 Timotheo 2:25-26)
 
Hakuna uchaguzi mkuu bila mabadiliko
 
Unatupotezea mda
Kwani hapo nyuma ya keyboard ulipojificha mko wangapi? Ingekuwa bora ukasema: "Unanipotezea muda"
Lakini saa yaja utakapokumbuka msingi wa uzi huu kwamba: "No heart reform, no election into heaven"
 
You manipulate the Word of God blindly.
Your assertion presumes malice where there is none and overlooks the reverence with which I handle sacred text. To suggest manipulation is to indict motive, yet my approach is rooted not in distortion but in diligent exegesis. The Scriptures are not clay to be molded at whim, but truth to be unveiled with trembling and humility. Before leveling such weighty accusations, consider whether it is perception, not doctrine, that is misaligned. For it is written, 'The spiritual man judges all things, but he himself is not subject to any man’s judgment' (1 Corinthians 2:15). Grace and truth must walk hand in hand; zeal without knowledge often begets offense.
 
True justice flows from a reformed heart (Soma Mika 6:8). Demanding rights without inward righteousness is like washing the cup outside while inside remains filthy (Soma Mathayo 23:25). God delights in both justice and mercy—but begins with the heart (Soma Zaburi 51:6).
 
Stop instrumentalize the Word of God to suit your Merit.
 
This time mtakula BUKU 7 kwa jasho haswa.
Kazi ni kipimo cha utu
Isaya 1:19
Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi

Mimi baada ya kukubali wokovu wa Yesu, nimekula mema mengi ya nchi.
 
Haya ni makubwa katika jf, wewe umejuaje kama nyoyo zao hawajazifanyia reform, au wewe ni ndugu na Nabii Tito
Hausomi comments? Huoni jinsi watu hao walivyojaa lugha za kejeli na matusi? Unataka unabii wa nini wakati matunda ya midomo yao yako dhahiri
Mathayo 7:16-20
Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La! Basi, mti mzuri huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri.

Mti mzuri=Mtu mzuri (ambaye moyo wake umefanyiwa reform) hana lugha chafu
 
Nimeshangaa piaa mlokole wa wapi huyu anashindwa kutembea na No reforms no election
Nimeshangaa sana watu wanaopigania reforms hawajui kwamba moyo unahitaji kuwa reformed!

NO HEART REFORM, NO ELECTION INTO HEAVEN
 
Nimeshangaa sana watu wanaopigania reforms hawajui kwamba moyo unahitaji kuwa reformed!

NO HEART REFORM, NO ELECTION INTO HEAVEN
Wahubirie hao CCM wafanye in heart reform na political reforms,,,maisha ya watu wengi yanapotea.....na machozi ya wanyonge wengi yanawalilia....wahibiri jaribuni kukemea uovu hata kwa hao watawala. Au umetumwa kama Balamu?
 
Tunapitia na kusoma nyuzi zako kwa heshima bila kuingilia imani yako.
Sema unapitia (sio mnapitia) na kusoma nyuzi zangu kwa heshima. Ina maana hizo comments za wenzako hujazisoma? Matusi na lugha za kejeli ndio heshima?
vinginevyo utakula spana
Duh, kweli moyo wako unahitaji reform. Mbona huna upendo rafiki; unataka kunilisha vyuma? Basi sawa. Mimi silipi kisasi, ntakulisha mana - chakula cha wateule.
hadi hiyo injili yako ionekane useless
Injili ni useless kwa wanaopotea(1 Kor 1:18-25). Kwetu sisi waenda mbinguni, Injili ni nguvu ya Mungu.
 
Hii nayo takataka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…