Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

Tunapitia na kusoma nyuzi zako kwa heshima bila kuingilia imani yako. Achana na mambo ya no reform no election kama huelewi kinachoendelea vinginevyo utakula spana hadi hiyo injili yako ionekane useless
 
Bongo unafki umejaa sana.
Duniani watu wanaohubiri Injili bila unafiki wamejaa sana. Hata ChatGPT anahubiri Injili bila unafiki.
 
Kutumia Mandiko na Neno la Mungu, hakukuhalarishii kutopingwa

Hapo ulipo, ndugu zako wamewahi kutekwa na kupotezwa hata mmoja?

Mume wako uko naye? Ni leo uko naye, lakini usalama wa mume wako unahitaji sana hii No reforms no election


Watanzania siyo wajinga, hata wakati wa Mwenye Yesu haki alipotaka kuja, alimtanguliza Yohana kuandaa mazingira ya mwenye haki


Haki ya nchi hii, ni lazima iandaliwe na wachache, mnaoona kila kitu kipo sawa mkae pembeni ili baada ya mambo haya ya Reforms kukaa sawa

Nyinyi ndo mtakuja kusema tulikuwa tumechelewa sana
 
Inasikitisha sana
Nawasikitikia sana watu wasiotaka mioyo yao iwe reformed. Nawasikitikia kwakuwa without a changed (reformed) heart, one cannot be chosen (elected) to enter heaven.
NO HEART REFORM, NO ELECTION INTO HEAVEN
Your browser is not able to play this audio.
 
WE MSENGE HAKUNA ANAYEPIGA KELELE TUNATETEA VIZAZI VYETU MBWA WEEE
Mathayo 15:26-28
Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
 
Huyu mlokole nlikua namuheshimu Sana kumbe nayeye HAMNAZO
Kama ulikuwa unaniheshimu kwa sababu huwa ninaongea maneno ya Mungu, kinachokukasirisha ni nini sasa
comrade_kipepe ? Mbona bado naendelea kuongea Neno la Mungu kwamba:
NO HEART REFORM, NO ELECTION INTO HEAVEN
Without a changed (reformed) heart, one cannot be chosen (elected) to enter heaven.
Mt 18:3-5
Akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
 
upuuZi Gani umeandika leo
1 Kor 1:18-31
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa kuwa imeandikwa, Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, Na akili zao wenye akili nitazikataa.
 


Reform sio ya mtu fulani ni reform ya sheria za nchi kuhusu uchaguzi ili tupate viongozi wa kuchaguliwa na wananchi ili wakatuwakilishe Bungeni .

Katiba au tume ya uchaguzi sio ya Heche wala Lisu.
Gwajima anaposema Sheria za mafao ya askari polisi na wanajeshi ziboreshwe na wateule wasiondolewe kiholela sio kwa sababu hao wanajeshi na polisi ni watakatifu la hasa .Bali ni kwa sababu ni haki kufanya hivyo ili watosheke na mishahara yao .

Utakatifu wa Mwanasiasa ni kusimamia haki na kutunga sheria za haki .
Utakatifu wa polisi ni kulinda watu na mali zao na kutoshitaki watu kwa uongo na kutosheka na mishahara yao .
Utakatifuwa mwanajeshi ni kubwa tayari kwenda kupigana vita ya haki na kulinda taifa lao ili watu waishi kwa amani .

Utakatifu wa Juji nikutoa hukumu ya Haki .

Utakatifu wa Rais ni kusimamia maendeleo ya nchi ,kusimamia rasilimali za nchi na kodi ya nchi kwa usawa maana amezikuta na ataziacha kwa ajili ya vizazi vijavyo .
Utakatifu wa Daktari ni kuwatibu watu kwa kadiri ya uwezo wake bila kuweka maslahi yake binafsi .

Utakatifu wa tume ya uchaguzi ni kusimamia uchaguzi kwa haki na aliyechaguliwa kwa kura nyingi atangazwe.

Hayo mengine ni kuutiisha mwili ili uitii nafsi na roho kwa ajili ya kutimiza matakwa ya kiMungu.

No reform no Election.

Reform zitawapatia watanzania viongozi watakao heshimu wananchi . Reforms zitawapa ujasiri wa kweli vyombo vya dola katika kusimamia haki .
Watumishi wa umma wanalia .
 
Kashatupiwa Majin tyr
 
Uko sahihi sana, lakini ngoja tuendelee na kampeni yetu.
Free tundu Lissu.
No reform No election.
No reform No election.
No reform No election.
Sawa, ngoja na mimi niendelee kuwaburudisha watu na VIBE hii:
Your browser is not able to play this audio.
 
Wewe uliyeandika hii una upendo kweli? Kama una busara na hekima muombe Mungu wako akusamehe kwa kutoa maneno yake kama ibilisi.
Yn 15:13 SUV
Hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu, wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
Tubu na uombe toba kilio cha watanzania sio mchezo kitarudi kwako. Tukuachie wewe utekaji na kuuwawa kwa raia katika familia yako.
Wewe una haki sana kuliko hao wauaji
Rum 3:10-12
"Hakuna mwenye haki hata mmoja. Hakuna afahamuye; Hakuna amtafutaye Mungu. Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema, la! Hata mmoja."
Mathayo 3:2
Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.

NO HEART REFORM, NO ELECTION INTO HEAVEN
 
Unatumia maandiko ya biblia vibaya,hata shetani hutumia maandiko, we ni mjumbe wa shetani
Shetani ni muongo na baba wa uongo.
Mimi nimekuambia ukweli
NO HEART REFORM, NO ELECTION INTO HEAVEN
Without a changed (reformed) heart, one cannot be chosen (elected) to enter heaven.
Mt 18:3-5
Akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
 
kwa mtazamo wangu suala la mungu ni la mtu bjnafsi. halafu wewe unapotaka watu wafanyiwe reforms ndani ya mioyo yao je, ndilo jibu sahihi la matatizo ya hali mbaya ya kiuchumi, kisiasa na hata kimaadili tusumbuayo kwa sasa?
Mioyo ya watu wote ikiwa reformed hilo ndilo jibu sahihi la matatizo ya kimaisha.
 
namalizia kwa kusema kuwa no reforms no ellection.
Mimi simalizi. Bado nina kazi kubwa ya kuwaambia watu wote duniani kwamba
NO HEART REFORM, NO ELECTION INTO HEAVEN
Without a changed (reformed) heart, one cannot be chosen (elected) to enter heaven.
Mt 18:3-5
Akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…