Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

I like you. Are you married?
Hahaa. When I sent out the wedding invite, where were you hiding?
 
Na Mungu huyohuyo anasemaje juu ya watawala kuwadhulumu uhai watawaliwa?
Kumbe unajua kuwa Mungu hana upendeleo. Basi tubu kwanza uovu wako kabla ya kuwanyoshea kidole watawala
 
Majizi ya kura yamekuja kivingine na kututishia vitabu ambavyo waliovoandika hata hawajulikani.
 
Si unaijua? Wewe umeandika nini kama huijui? Wewe tapeli wa biblia.

Mungu akamuuliza shetani umetoka wapi? Shetani akamjibu nimetoka duniani kutafuta marafiki. Ndiyo nyie mnauwa na kuteka mnadanganya watanzania mnafiata sheria. Mashetani makubwa
Haijaandikwa hivyo. Au unaota NDOTO KAVU ?
Nenda kasome tena Ayubu 1:7.
Halafu hilo andiko halina uhusiano na uzi huu. Mimi nawaambia watu kwamba kabla ya kuwanyooshea vidole watu wanaowatuhumu kuwa wana dhambi, wajichunguze kwanza mioyo yao. Je wao ni watakatifu? Je wao hawana doa? Kama wana madoa mioyoni mwao waombe Mungu awafanyie reform kwanza, yaani awawezeshe kutoa boriti katika macho yao, ndipo wataweza kuona vizuri kibanzi katika macho ya wengine.

Shetani hawezi kukuambia Injili hii isiyoghoshiwa 😎
 
Ni
Ni kweli kbs 👊
 
Wanaweza kuongea mtandaoni vitendo zero 😂
 
Unao uwezo wa kusoma yaliyomo ndani ya mioyo ya wengine hata useme hawastahili kuwakosoa wenzao?
Lkn pia, ktk muktadha wa unachoserma. Unachomahanisha ni kuwa si sahihi kukanyana na kuonyana sisi kwa sisi.
Ninaweza kusema kwamba hujaelewa maana ya andiko hili:
Luka 6:41-45
Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako? Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ na huku huioni boriti iliyomo katika jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe! Toa kwanza boriti iliyomko jichoni mwako, na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako.

Msingi wa uzi huu umejengwa kwenye andiko hilo.
 
Soma tena kwa makini Andiko hili, utaona kinachokupasa kufanya kwanza kabla ya kumkanya mwenzako
Luka 6:41-45
Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako? Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ na huku huioni boriti iliyomo katika jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe! Toa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako, na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako.
 
Acha upuuzi binti.

No reform no election.
Injili ni upuzi kwa wanaopotea
1 Kor 1:18-31
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
 
Mlokole wa kweli anayeifahamu biblia kwa nilichotolea mfano angefikiria namna nzuri ya kujibu.

Wewe ni mnaafikiii, hujui maandiko, pandikizi

Labda nenda kwa waislamu watakwambia ni nini maana ya unafiki utaelewa
Wewe unaujua unafiki kuliko Yesu aliyenena hayo
 
Hii nayo ni mada ya kujadiliwa na watu wenye akili timamu?
Ndio
Samia na Genge lake na watumishi wao
Why are you addressing your President without the proper respect?
Si ndio maana nasema mfanyiwe reform mioyoni mwenu.
Mtu hata hujui unazungumzia kitu gani, unataka watu wapoteze muda wao kusoma uchafu uliouweka hapa?
Hoja hupingwa kwa hoja. Wewe ni mtakatifu? Huna dhambi?
Mt 7:5
Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Ni hivi: Kwa sasa, unachotakiwa kujuwa, hata kwa akili ndogo uliyo nayo ni hiki:
NO REForm, NO ELECTION" - Umeelewa?
No heart reform, no election into heaven.
 
Sio majira yake! Utakuja kutuambia siku nyingine, umesikia wewe!?
 
Mimi pia nataka mbadilike. Mioyo yenu imjue Mungu. Muishi maisha matakatifu
Amen.. Usichoke kupambana kwa ajili ya Mungu..
na usituchoke sisi wakorofi,, maana hata wana israel walimsumbua sana Mungu enzi hizo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…