Nimekutana na Winga karikoo anatema ung'eng'e umenyooka. Baada ya kuzoeana nae. Akanipatia CV yake nimsaidie kusaka kazi.
Kucheki CV ya winga huyo wa karikoo naona primary kasoma St marys, O level kasoma Shaban robert, A level kasoma Feza. Chuo pekee ndio kasoma chuo cha kayumba Udsm.
Nikamuuliza kwa nini asiombe mtaji kwa wazazi wake maana wanaonekana wana uwezo.
Akanijibu wazazi Wake hawana hela wala chochote cha kuwapatia leo hii. maana Hela zao waliwekeza kwenye kusomesha watoto tu.
Hata nyumba yao ya kuishi haijakamilika mpaka leo hii sababu ya kusomesha
Wasiosoma ndio huponda elimu,
Kajitu kameishia form 4,kakatumia kipaji chase, kakawa kamilionea, kanakuja kuvimba, eti kanawazidi watu wenye masters mshahara!
Na kanaona ni jambo LA ajabu, je wale wenye LA Saba, wanaokazidi pesa!kwahiyo tuamin ukiishia LA Saba, form 4 unapata pesa nyingi kuliko ukifika k wenye degree na masters, kwahiyo watoto wasipelekwe vyuoni, maana kuna "maginiasi" Wamegundua ukiwa na elimu ndogo, kama Mond, s2kizy, nk unapata pesa nyingi kuliko wenye madegree, masters, kama mzee Mengi, Fernandes wa NALA, vunjabei, MO, Maxence Melo! So stupid,
Kama unaona st Mary's ni shule goals, we ni kapuku, Na kama huoni tofsuti ya kusomesha Kidumu na fagio, na zile za mabasi, ya njano,we akili human, bado mjinga,