Ni akili ama matope ? Unasomesha mtoto shule za ada kubwa anaishia kuwa Winga , sababu wewe mzazi huna kampuni wala biashara yoyote ya kumrithisha

Hapo Mzazi hana kosa…Kosa ni la aliyesomeshwa na akatoka na ujuzi wa Uwinga…Trust me hata ukimsaidia atarudi kuwa winga.
Uwinga sio kitu kibaya ni mwanzo mzuri wa kujitafuta
 
inawezekana ikawa chai lakini huu ni ukweli ambao wengi wanaupitia na baadhi nawafahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…