sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Zanzibar ni nchi kamili. Sio sawa na mwanza ama mbeya huko wanakoangalia usawa wa idadi wanapogawa pembejeo.Tuwe wawazi hizo nafasi zigawiwe kwa kulinganisha idadi ya wakazi, say 60,000,000 kwa 1,500,000; then update asilimia ratio
Zanzibar ni kupe Kwa Tanganyika , ukanda wote wa pwani ni helpless Kwa hii nchi, Bahati mbaya ndo wapo kwenye high commandHapana mkuu, Zanzibar ni nchi inabidi iheshimiwe kama nchi,
kama ni nchi kwanini isijitegemee kutengeneza ajra zake kwanini ije ipore ridhiki za watanganyika? mbona ajiira ni Kwa wazanzibar tuHapana mkuu, Zanzibar ni nchi inabidi iheshimiwe kama nchi,
Halafu wao ni wabaguzi sana na wakija huku Tanganyika wanakula mema ya nchi tu ila ndio vinara wakulalamikakama ni nchi kwanini isijitegemee kutengeneza ajra zake kwanini ije ipore ridhiki za watanganyika? mbona ajiira ni Kwa wazanzibar tu
Kwa hili la ajira nampongeza maana kaupiga mwingi kwerikweri in Jiwes voiceTunaposema Rais Samia anatoa ajira muwe mnaelewa,
Kasi ya Rais wetu inatia moyo kwa kila Mtanzania,
Hongera Rais Samia kwa ajira mpya tuko na wewe daima ,
ExactlyTunaposema Rais Samia anatoa ajira muwe mnaelewa,
Kasi ya Rais wetu inatia moyo kwa kila Mtanzania,
Hongera Rais Samia kwa ajira mpya tuko na wewe daima ,
TRA mamlaka ya mapato Tanzania sio mamlaka ya mapato Tanganyikakama ni nchi kwanini isijitegemee kutengeneza ajra zake kwanini ije ipore ridhiki za watanganyika? mbona ajiira ni Kwa wazanzibar tu
Safi Sana Rais wetuKwa hili la ajira nampongeza maana kaupiga mwingi kwerikweri in Jiwes voice
Mkuu, huu muungano si mnaupenda kwanini mlalamike. Hebu wacha vijana wapige kazi bwana, Sijawahi kuona ubaguzi wa aina yoyote. Tafuta kazi, upate pesa uheshimikeHalafu wao ni wabaguzi sana na wakija huku Tanganyika wanakula mema ya nchi tu ila ndio vinara wakulalamika
Naona hujafika hata zanzibar, kuna watanganyika wapo zanzibar wapo na ajira zaoHalafu mtanganyika haruhusiwi kufanya kazi Zanzibar na wao ka nchi hawafiki milion tatu huu muungano una walakini
Muungano si mnaupenda sasa hasira hizi unatoa wapi? 🙂 🙂si mkaajiriwe kwenu zanzibar huku tanganyika mnafuta nini
si mkaajiriwe kwenu zanzibar huku tanganyika mnafuta nini
ZRB na ZSSF ni mashirika ya serikali ya zanzibarWanzanzibar subirini za kwenu za ZRB, nyie ndo mnaongeza uhaba wa ajira Bara, hakuna mbara aliyeko ZRB au ZSSF lakini nyie mko bara mmejazana, wabara tulioko huku znz tuko kibishi lakini hamtaki hata kutuona
Kuna mzanzibari anaijua Tanzania kweli? Ikiwa mnaijua Tanzania. Leseni ya udereva imeandikwa JMT lakini haitakiwi kutumika znz, unakamatwa na askari aliyevaa nembo ya Jamhuri ya muungano wa Tz.Ajira sio za tanganyika ni za Tanzania.
Jiulize kirefu cha TRA je ni Tanganyika revenue authority ama Tanzania revenue authority?
Wa Zanzibar wana haki ya kisheria katika ajira za Tanzania zote. Ingekuwa za Tanganyika ungekuwa sahihi