Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

Ajira sio za tanganyika ni za Tanzania.

Jiulize kirefu cha TRA je ni Tanganyika revenue authority ama Tanzania revenue authority?

Wa Zanzibar wana haki ya kisheria katika ajira za Tanzania zote. Ingekuwa za Tanganyika ungekuwa sahihi
mbna sisi wadanganyika hatuna haki zanzibar revenue board inayokusanya mapato ya zanzibar hata leseni ya udereva imeandikwa jamuhuri ya muungano wa tanzania sio tanganyika ila ukienda zanzibar uendeshi gari kwa iyo leseni
 
mbna sisi wadanganyika hatuna haki zanzibar revenue board inayokusanya mapato ya zanzibar
Ni "anzibar revenue board" sio "Tanzania revenue board"

Unahitaji ufafanuzi zaidi???
 
Muungano kupe..Naililia Tanganyika..ila ccm ndio tatizo katika hili..uchu wa madaraka navyeo..ili hali ni ujanjua unjaja tu hapo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Muungano si mnaupenda sasa hasira hizi unatoa wapi? 🙂 🙂

Mashirika ya zanzibar mengi yameshajaa mkuu, kwa sasa wacha vijana wajaribu bahati yao hizi ajira mpya za muungano.

TRA ni mamlaka ya mapato Tanzania sio mamlaka ya mapato Tanganyika.

Tanganyika + Zanzibar = Tanzania

Nakutakia mchana mwema .
kudadadeki chao chao chetu chaote daaa
 
Tunaposema Rais Samia anatoa ajira muwe mnaelewa,

Kasi ya Rais wetu inatia moyo kwa kila Mtanzania,

Hongera Rais Samia kwa ajira mpya tuko na wewe daima ,
Tumeishakugundua wewe ni Samia mwenyewe unajikweza sana mitandaoni wakati utendaji wako ni sifuri zaidi ya Udini na uzanzibari
 
kudadadeki chao chao chetu chaote daaa
Mkuu unapoona shirika au Taasisi ina neno la Tanganyika, hapo ni watanganyika tu wanahusika, mfano Tanganyika law society chama cha wanasheria wa Tanganyika

unapoona shirika au Taasisi ina neno la Zanzibar, hapo ni Wazanzibar tu wanahusika, ZRB shirika na kukusanya mapato Zanzibar, ZFF shirika la mpira Zanzibar

unapoona shirika au Taasisi ina neno la Tanzanja, hapo wote watanganyika na wazanzibar wana haki ya kushiriki, mfano TRA, ATCL, JWTZ, n.k
 
Mapendekezo ya katiba mpya, maarufu katiba ya Waryoba iliweka wazi suala la Muungano. Kuna haja ya kudai Tanganyika yetu ili fursa za watanganyika tuzipate. kiukweli Watanganyika tunanyonywa na ni bora tuanze kujiita sisi wa-Tanganyika. Wao wana vitu vyao sisi wa-Tanganyika hatuna!
 
View attachment 1986349

Kwa siku za hivi karibuni ajira zimekuwa ni changamoto sana, Wahitimu wamezidi kuwa wengi sana.

Katika hizi nafasi 1,097, ile asilimia 21 itakuwa sawa na wazanzibari 230 tu,

Naona ingependeza walau kuwe na wazanibar 300 ili kufidia fidia vijana wengi ambao bado wapo mitaani na degree zao.

Muungano ni urithi wetu
Muungano ufe
 
Mkuu kuna mashirika kama Medical council of Tanganyika na Tanganyika Law pf society ni kwajili ua watanganyika
 
Ajira sio za tanganyika ni za Tanzania.

Jiulize kirefu cha TRA je ni Tanganyika revenue authority ama Tanzania revenue authority?

Wa Zanzibar wana haki ya kisheria katika ajira za Tanzania zote. Ingekuwa za Tanganyika ungekuwa sahihi
Patamu hapo, Wazanzibar wana haki kotekote halafu Watanganyika wana haki upande mmoja tu,Eeeh Mwenyezi Mungu ingilia kati huu muungano.
 
View attachment 1986349

Kwa siku za hivi karibuni ajira zimekuwa ni changamoto sana, Wahitimu wamezidi kuwa wengi sana.

Katika hizi nafasi 1,097, ile asilimia 21 itakuwa sawa na wazanzibari 230 tu,

Naona ingependeza walau kuwe na wazanibar 300 ili kufidia fidia vijana wengi ambao bado wapo mitaani na degree zao.

Muungano ni urithi wetu
Hao 230 watafanya kazi Zanzibar au huku Tanzanyika?
 
Back
Top Bottom