Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

Hao 230 watafanya kazi Zanzibar au huku Tanzanyika?
Ni 230 tu ila ingekuwa nafuu wawe 300.

Watapangiwa kazi Tanzania (Tanzania Bara ama Zanzibar) kulingana na mapendekezo ya TRA
 
Mkuu unapoona shirika au Taasisi ina neno la Tanganyika, hapo ni watanganyika tu wanahusika, mfano Tanganyika law society chama cha wanasheria wa Tanganyika

unapoona shirika au Taasisi ina neno la Zanzibar, hapo ni Wazanzibar tu wanahusika, ZRB shirika na kukusanya mapato Zanzibar, ZFF shirika la mpira Zanzibar

unapoona shirika au Taasisi ina neno la Tanzanja, hapo wote watanganyika na wazanzibar wana haki ya kushiriki, mfano TRA, ATCL, JWTZ, n.k
Fatma Karume aliyekuwa Rais wa Tanganyika Law Society ni chogo?

Amandla...
 
View attachment 1986349

Kwa siku za hivi karibuni ajira zimekuwa ni changamoto sana, Wahitimu wamezidi kuwa wengi sana.

Katika hizi nafasi 1,097, ile asilimia 21 itakuwa sawa na wazanzibari 230 tu,

Naona ingependeza walau kuwe na wazanibar 300 ili kufidia fidia vijana wengi ambao bado wapo mitaani na degree zao.

Muungano ni urithi wetu
Acha ujinga hizo zinawatosha

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, huu muungano si mnaupenda kwanini mlalamike. Hebu wacha vijana wapige kazi bwana, Sijawahi kuona ubaguzi wa aina yoyote. Tafuta kazi, upate pesa uheshimike
It's not about kutafta kazi or wherever Zanzibar Wana benefits sana na muungano kuliko Tanganyika ila ni vinara wa kulia lia wanaonewa wakati wanapata favor wewe mtanganyika ukienda Zanzibar sidhani ka utaajiriwa huko zaidi ya kuitwa chogo na udini
 
Naona hujafika hata zanzibar, kuna watanganyika wapo zanzibar wapo na ajira zao
Hizi za serikali?
Vipi kununua ardhi wao Kuna walioteuliwa Hadi huku bara, na huko zenji ni watanganyika wangapi wameteuliwa?
 
View attachment 1986349

Kwa siku za hivi karibuni ajira zimekuwa ni changamoto sana, Wahitimu wamezidi kuwa wengi sana.

Katika hizi nafasi 1,097, ile asilimia 21 itakuwa sawa na wazanzibari 230 tu,

Naona ingependeza walau kuwe na wazanibar 300 ili kufidia fidia vijana wengi ambao bado wapo mitaani na degree zao.

Muungano ni urithi wetu
Kwanini wasiajiriwe huko Zanzibar kwenu?
 
Mkuu kuna mashirika kama Medical council of Tanganyika na Tanganyika Law pf society ni kwajili ua watanganyika
Bado kuna tatizo kubwa Tanganyika, angalia teuzi za mabalozi kutoka kwao, makatibu tawala wanatoka zanzibar kuja huku lakini sisi hatuwezi kuwa makatibu tawala huko. Huu muungano haujakaa sawa. Mifano yako ni michache sana na tena kwa jamii yetu huenda hawavijui vitu hivyo.
 
Hizi za serikali?
Vipi kununua ardhi wao Kuna walioteuliwa Hadi huku bara, na huko zenji ni watanganyika wangapi wameteuliwa?
Zanzibar kuna mashirika na Taasisi za muungano kama TRA, BOT, Polisi, n.k utawakuta watanganyika wengi tu pamoja na wazanzibari.

Ila kwa taasisi kama ZRB, ZSSF, ZFF hizi sio za muungano, Ni kwajili ya wazanzibari.

Sijui sehemu ipi huwa hamuelewi
 
Kwanini wasiajiriwe huko Zanzibar kwenu?
Na huku wanaajiriwa kwenye mashirika kama ZRB, ZSSF, ZFF, n.k ila bado pia wana haki ya kuajiriwa kwenye mashirika na taasisi za muungano kama TRA, BOT, polisi, n.k.
 
Mbona hakuna wabara kwenye hayo mashirika? TRA siyo muungano Zanzibar hakuna EFD mashine mkuu wala kodi zao ni tofauti na huku
 
View attachment 1986349

Kwa siku za hivi karibuni ajira zimekuwa ni changamoto sana, Wahitimu wamezidi kuwa wengi sana.

Katika hizi nafasi 1,097, ile asilimia 21 itakuwa sawa na wazanzibari 230 tu,

Naona ingependeza walau kuwe na wazanibar 300 ili kufidia fidia vijana wengi ambao bado wapo mitaani na degree zao.

Muungano ni urithi wetu
Zanzibar si kuna ZRB....huku TRA wanakuja kufanya nn?
 
Mkuu unapoona shirika au Taasisi ina neno la Tanganyika, hapo ni watanganyika tu wanahusika, mfano Tanganyika law society chama cha wanasheria wa Tanganyika

unapoona shirika au Taasisi ina neno la Zanzibar, hapo ni Wazanzibar tu wanahusika, ZRB shirika na kukusanya mapato Zanzibar, ZFF shirika la mpira Zanzibar

unapoona shirika au Taasisi ina neno la Tanzanja, hapo wote watanganyika na wazanzibar wana haki ya kushiriki, mfano TRA, ATCL, JWTZ, n.k
Ndio maana mnazaa watoto vichwa vimebonyea hamna akili, sawa TANGANYIKA LAW SOCIETY na unachotaka kusema husiana vipi ?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom