sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
-
- #41
Ni 230 tu ila ingekuwa nafuu wawe 300.Hao 230 watafanya kazi Zanzibar au huku Tanzanyika?
Fatma Karume aliyekuwa Rais wa Tanganyika Law Society ni chogo?Mkuu unapoona shirika au Taasisi ina neno la Tanganyika, hapo ni watanganyika tu wanahusika, mfano Tanganyika law society chama cha wanasheria wa Tanganyika
unapoona shirika au Taasisi ina neno la Zanzibar, hapo ni Wazanzibar tu wanahusika, ZRB shirika na kukusanya mapato Zanzibar, ZFF shirika la mpira Zanzibar
unapoona shirika au Taasisi ina neno la Tanzanja, hapo wote watanganyika na wazanzibar wana haki ya kushiriki, mfano TRA, ATCL, JWTZ, n.k
Acha ujinga hizo zinawatoshaView attachment 1986349
Kwa siku za hivi karibuni ajira zimekuwa ni changamoto sana, Wahitimu wamezidi kuwa wengi sana.
Katika hizi nafasi 1,097, ile asilimia 21 itakuwa sawa na wazanzibari 230 tu,
Naona ingependeza walau kuwe na wazanibar 300 ili kufidia fidia vijana wengi ambao bado wapo mitaani na degree zao.
Muungano ni urithi wetu
It's not about kutafta kazi or wherever Zanzibar Wana benefits sana na muungano kuliko Tanganyika ila ni vinara wa kulia lia wanaonewa wakati wanapata favor wewe mtanganyika ukienda Zanzibar sidhani ka utaajiriwa huko zaidi ya kuitwa chogo na udiniMkuu, huu muungano si mnaupenda kwanini mlalamike. Hebu wacha vijana wapige kazi bwana, Sijawahi kuona ubaguzi wa aina yoyote. Tafuta kazi, upate pesa uheshimike
Na kwenye hizo za watanganyika wazanzibari wanaoishi Tanganyika wanaweza kuomba. Kweli hamridhiki.Ni 230 tu ila ingekuwa nafuu wawe 300.
Watapangiwa kazi Tanzania (Tanzania Bara ama Zanzibar) kulingana na mapendekezo ya TRA
Hizi za serikali?Naona hujafika hata zanzibar, kuna watanganyika wapo zanzibar wapo na ajira zao
Kwanini wasiajiriwe huko Zanzibar kwenu?View attachment 1986349
Kwa siku za hivi karibuni ajira zimekuwa ni changamoto sana, Wahitimu wamezidi kuwa wengi sana.
Katika hizi nafasi 1,097, ile asilimia 21 itakuwa sawa na wazanzibari 230 tu,
Naona ingependeza walau kuwe na wazanibar 300 ili kufidia fidia vijana wengi ambao bado wapo mitaani na degree zao.
Muungano ni urithi wetu
Uvunjwe tuu shenzy typeHalafu wao ni wabaguzi sana na wakija huku Tanganyika wanakula mema ya nchi tu ila ndio vinara wakulalamika
Huu muungano fake uvunjwe wanatunyonya snNa kwenye hizo za watanganyika wazanzibari wanaoishi Tanganyika wanaweza kuomba. Kweli hamridhiki.
Amandla...
Tena haraka snUvunjwe tuu shenzy type
Bado kuna tatizo kubwa Tanganyika, angalia teuzi za mabalozi kutoka kwao, makatibu tawala wanatoka zanzibar kuja huku lakini sisi hatuwezi kuwa makatibu tawala huko. Huu muungano haujakaa sawa. Mifano yako ni michache sana na tena kwa jamii yetu huenda hawavijui vitu hivyo.Mkuu kuna mashirika kama Medical council of Tanganyika na Tanganyika Law pf society ni kwajili ua watanganyika
Hivi na Zanzibar kuna TRA au wao wana Mamlaka yao ya mapato?Ni 230 tu ila ingekuwa nafuu wawe 300.
Watapangiwa kazi Tanzania (Tanzania Bara ama Zanzibar) kulingana na mapendekezo ya TRA
Zanzibar kuna mashirika na Taasisi za muungano kama TRA, BOT, Polisi, n.k utawakuta watanganyika wengi tu pamoja na wazanzibari.Hizi za serikali?
Vipi kununua ardhi wao Kuna walioteuliwa Hadi huku bara, na huko zenji ni watanganyika wangapi wameteuliwa?
Na huku wanaajiriwa kwenye mashirika kama ZRB, ZSSF, ZFF, n.k ila bado pia wana haki ya kuajiriwa kwenye mashirika na taasisi za muungano kama TRA, BOT, polisi, n.k.Kwanini wasiajiriwe huko Zanzibar kwenu?
Tokeni na hapo kariakoo mrudi kwenuZRB na ZSSF ni mashirika ya serikali ya zanzibar
TRA ni shirika la nchi mbili Tanganyika na Zazibar inayounda Tanzania
JIONGEZE!!
Zanzibar 100% ya ajira ni za Wazanzibar,Tanganyika ilishauwawa ,halafu Tanzania 79% ya ajira ni za Watanganyika ,una kilo 1,000 za nyama unawapa Watanganyika 585 kilo 790 halafu Wazanzibar 15 kg 210,hii sio sawa kabisa.Asilimia 79 za ajira
Mbona hakuna wabara kwenye hayo mashirika? TRA siyo muungano Zanzibar hakuna EFD mashine mkuu wala kodi zao ni tofauti na hukuNa huku wanaajiriwa kwenye mashirika kama ZRB, ZSSF, ZFF, n.k ila bado pia wana haki ya kuajiriwa kwenye mashirika na taasisi za muungano kama TRA, BOT, polisi, n.k.
Zanzibar si kuna ZRB....huku TRA wanakuja kufanya nn?View attachment 1986349
Kwa siku za hivi karibuni ajira zimekuwa ni changamoto sana, Wahitimu wamezidi kuwa wengi sana.
Katika hizi nafasi 1,097, ile asilimia 21 itakuwa sawa na wazanzibari 230 tu,
Naona ingependeza walau kuwe na wazanibar 300 ili kufidia fidia vijana wengi ambao bado wapo mitaani na degree zao.
Muungano ni urithi wetu
Huu muungano fake uvunjwe wanatunyonya snZanzibar 100% za ajira ni za Wazanzibar,Tanganyika ilishauwawa ,halafu Tanzania 79% za ajira ni za Watanganyika ,una kilo 1,000 za nyama unawapa Watanganyika 585 kilo 790 halafu Wazanzibar 15 kg 210,hii sio sawa
Ndio maana mnazaa watoto vichwa vimebonyea hamna akili, sawa TANGANYIKA LAW SOCIETY na unachotaka kusema husiana vipi ?Mkuu unapoona shirika au Taasisi ina neno la Tanganyika, hapo ni watanganyika tu wanahusika, mfano Tanganyika law society chama cha wanasheria wa Tanganyika