Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

Mkuu, kuna serikali mbili.

Mambo yanayoihusisha Tanzania yanahusisha pande zote mbili za Tanzania bara na Zanzibar, sasa cha ajabu ni kipi mabalozi, makatibu tawala, n.k wakitokea Zanzibar???

Mambo yanayoihusu Tanganyika, mfano chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Medical Council of Tanganyika (MCT) yanawahusu Tanganyika, Mzanibari hahusishwi hapa labda iwe special case.

Mambo yanayohusu Zanzibar mfano shirika la kkusanya mapato (ZRB), Shirika la Mpira (ZFF), ZSSF, n.k ni kwa jli ya wazanzibar pekee.

Sijui ni sehemu ipi huwa mnashindwa kuelewa.
 
Muungano uvunjwe hatuutaki
 

Inakuwaje bado mnao tu hamuandamani kuitoa kwenye huo uvamizi mnaouita muungano ??
 
Wanzanzibar subirini za kwenu za ZRB, nyie ndo mnaongeza uhaba wa ajira Bara, hakuna mbara aliyeko ZRB au ZSSF lakini nyie mko bara mmejazana, wabara tulioko huku znz tuko kibishi lakini hamtaki hata kutuona

Kumbe kazi yenu kuja kutuletea ubishi ??? Mlituvamia kutuletea ubishi ?? kumbe ndio wengine hamna pa kulala mnakamatwa juu majumba ya Michenzani mnalala kwa mamia kama ndio 5 star hotel yenu
 
Tena hizo asilimia ni nyingi sana. Wazipunguze.

Muungano uivunjiliwe mbalini hauna faida yoyote kwa mzanzibari ni nakama na balaa tupu . Mchukue wenyewe zote 1000000000 percent

Mtuwachie nchi yetu mliyoivamia
 
Muungano uivunjiliwe mbalini hauna faida yoyote kwa mzanzibari ni nakama na balaa tupu . Mchukue wenyewe zote 1000000000 percent

Mtuwachie nchi yetu mliyoivamia
Mnasubiri nini kuuvunja?
 
Nadhani kwanza tujue TRA ni ya Muungano? Je Zanzibar hawana taasisi yao inayokusanya kodi? Kama TRA siyo ya Muungano hata hizo ni kuwadhurum watanganyika. Lakini kama ni ya muungano tuangalie wingi wa wahitimu je ni upande gani una idadi kubwa ya wahitimu wenye sifa?
 
Tunaposema Rais Samia anatoa ajira muwe mnaelewa,

Kasi ya Rais wetu inatia moyo kwa kila Mtanzania,

Hongera Rais Samia kwa ajira mpya tuko na wewe daima ,
Nani ambaye amekataa au hajaelewa?

Lete screen shot tuone
 
Tanzania Revenue Authority.

Tanzania = Tanganyika + ???????
 
mkuu hayo ya uzanzibar na utanganyikar yametoka wapi? Tanzania ni moja na watanzania ni wamoja hakuna cha wazanzibar wala cha watanganyika. Sote ni watanzania.

Ajira hutangazwa na kutolewa kwa watanzania na sio kwa watanganyika au wazanzibar. Nchi yetu ni moja ya Tanzania.
 
TRA si suala la muungano Zanzibar kuna ZRA, huku waombe tu kama wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…