Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

Kwenye hizo nafasi Zanzibar wamepewa a whopping figure ya 21% ukilinganisha na polpulation yao ya only 3% of URT population.
 
Kwenye hizo nafasi Zanzibar wamepewa a whopping figure ya 21% ukilinganisha na polpulation yao ya only 3% of URT population.
 
Hata hivyo wamependelewa sana, walitakiwa kupata nafasi 27 tu, Na bara wapate 1,070. Kumbuka ZNZ wako roughly 1.5m while Bara wako 60m.
 
Hapana mkuu, Zanzibar ni nchi inabidi iheshimiwe kama nchi.

Kuheshimiwa kama nchi ni kupi? Yaani mwananchi wa Zanzibar awe bora kuliko mwananchi wa Bara? Watanzania wote ni sawa na uwakilishi uwe sawa
 
Asilimia 21% ya Watanzania ni 12,600,000 sasa Wanzanzibar ni wangapi? Huu ni upendeleo mkubwa sana.
 
Halafu mtanganyika haruhusiwi kufanya kazi Zanzibar na wao ka nchi hawafiki milion tatu huu muungano una walakini

Usizungumze kitu huna uhakika nacho

Nna Ndugu zangu wengi Sana wanafanyakazi Zanzibar...tena serikalini kabisa
Wengine wametokea Iringa huko hata Dar hawaijui
 
Hata hivyo wamependelewa sana, walitakiwa kupata nafasi 27 tu, Na bara wapate 1,070. Kumbuka ZNZ wako roughly 1.5m while Bara wako 60m.
Upendeleo upi??

Hizi no sheria za Muungano mkuu miaka nenda rudi
 
Upendeleo upi??

Hizi no sheria za Muungano mkuu miaka nenda rudi
Kwani huwezi kuwa na sheria mbovu? Mbona wewe umeomba nafasi ziongezwe, ulikuwa unataka sheria ipi ibadirishwe? Kwanini mwingine asiombe nafasi zipunguzwe?
 
Wazanzibari washaimba sana kuhusu huu muungano

ni zamu ya Watanganyika kuweka chorus

[emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445]
 
Halafu mtanganyika haruhusiwi kufanya kazi Zanzibar na wao ka nchi hawafiki milion tatu huu muungano una walakini
Huu muungano una siri kubwa, nyerere alishasaini mikataba...inshort siku tukiachana na Zanzibar kesho yake Oman wanatia kambi kuitawala na inakuwa New york ya East Afrika
 
Mkianza kusema nafasi hizi kwa wazinzabar mjue kesho wasukuma ,wahaya,wachaga, etc nao watadai za kwao , na ninavyojua ukiomba kazi TZ huulizwi umetoka wapi sasa sijui ubara na uzanzibari umetoka wapi hapo, kazi zitangazwe anayetaka na mwenye qualifications aombe , hatutaki ukabila,ukanda wala udini
 
Mimi ni mbara, nikweri kuna wazanzibar wabaguzi sana. Lakini 2sisahau wabara pia wako wabaguzi, makatiri, roho mbaya, chuki kama ulivyo wewe hapoo unasema "unawachukia sana" badirika babaa.
 
Kwani Wazanzibari ni asilimia ngapi ya Watanganyika kwa idadi yao.
Hata hizo 21% ni nyingi mno mnapaswa kuwa na Shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…