Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

Lissu akili kubwa. Uchuguzi upo na hautafanyika kwa Lissu kwenda mahakamani ataitwa kama shahidi tu. Endelea kuomba Mungu. akupe uha

Mahakama inayoweza kuhukumu kesi ya tuhuma za mauaji za Makonda ni International Court at the HAGUE!
Mfungulieni file huko; badala ya kuwategemea askali wa Samia.
Tunaelekea huko siku si nyingi. Aliyemshauri mama kumpatia uenezi Makonda anahusika na mchezo huu wa kutegeneza anguko la mama. Nabanahusika pia lkucheza na vyombo vya habari kumuarika Tundu Lissu kufanya mahojiano.
 
Kwani mkuu, ukiacha yoooteee ..

Hivi lile shambulizi kwa muonekano wa kawaida linaweza kuwa limefanywa na watu wa mitaani?
 

Hicho kulikuwa kipindi na kina muongoza kipindi, yeye alijibu alichoulizwa na kukitolea ufafanuzi. Andaa kipindi chako ukamuulize hayo mambo ya umeme.
 
Kuiongelea serikali ya awamu ya 5 ambayo hata haipo madarakani, si ni yaleyale mambo ya mwaka 47?

Suala la upungufu wa umeme hili linatakiwa kuhamasishwa kweli? Kila mwenye macho mazima si analiona!!
 
Rashidi Yule kijana aliyemuua Kabila Snr alikutwa mfukoni na business card ya ofisa balozi wa USA nyuma pia ikiwa na maandishi " in case of anything call this number".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…