Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

Lissu akili kubwa. Uchuguzi upo na hautafanyika kwa Lissu kwenda mahakamani ataitwa kama shahidi tu. Endelea kuomba Mungu. akupe uha

Mahakama inayoweza kuhukumu kesi ya tuhuma za mauaji za Makonda ni International Court at the HAGUE!
Mfungulieni file huko; badala ya kuwategemea askali wa Samia.
Tunaelekea huko siku si nyingi. Aliyemshauri mama kumpatia uenezi Makonda anahusika na mchezo huu wa kutegeneza anguko la mama. Nabanahusika pia lkucheza na vyombo vya habari kumuarika Tundu Lissu kufanya mahojiano.
 
..kuna Mama toka Afrika Magharibi alikuwa UN naye alifukuzwa.

..labda tuangalie kama muda aliofukuzwa ni kabla au baada ya shambulizi la Tundu Lissu.

..lakini kama ni Lissu ametonywa na watu wa Ubalozi basi uwezekano wa taarifa hizo kuwa za kweli ni mkubwa sana.
Kwani mkuu, ukiacha yoooteee ..

Hivi lile shambulizi kwa muonekano wa kawaida linaweza kuwa limefanywa na watu wa mitaani?
 
Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.

Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani

Hicho kulikuwa kipindi na kina muongoza kipindi, yeye alijibu alichoulizwa na kukitolea ufafanuzi. Andaa kipindi chako ukamuulize hayo mambo ya umeme.
 
Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.

Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Kuiongelea serikali ya awamu ya 5 ambayo hata haipo madarakani, si ni yaleyale mambo ya mwaka 47?

Suala la upungufu wa umeme hili linatakiwa kuhamasishwa kweli? Kila mwenye macho mazima si analiona!!
 
Rashidi Yule kijana aliyemuua Kabila Snr alikutwa mfukoni na business card ya ofisa balozi wa USA nyuma pia ikiwa na maandishi " in case of anything call this number".
 
Back
Top Bottom