much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
NdioUnawafahamu mabalozi vixzm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioUnawafahamu mabalozi vixzm
Ukisikia roporopo za aina hiyo basi ujue mwezi uko kona. Mwezi ukiwa kona jamaa yetu anaweza kuropoka kitu chochoteakini, T.L ameamsha dude(stirring up diplomatic waters) na yanaweza kusaidia uhusiano wetu au kuuharibu. Yote yatetegemea na uzito wa suala hilo.
Lissu akili kubwa. Uchuguzi upo na hautafanyika kwa Lissu kwenda mahakamani ataitwa kama shahidi tu. Endelea kuomba Mungu. akupe uha
Tunaelekea huko siku si nyingi. Aliyemshauri mama kumpatia uenezi Makonda anahusika na mchezo huu wa kutegeneza anguko la mama. Nabanahusika pia lkucheza na vyombo vya habari kumuarika Tundu Lissu kufanya mahojiano.Mahakama inayoweza kuhukumu kesi ya tuhuma za mauaji za Makonda ni International Court at the HAGUE!
Mfungulieni file huko; badala ya kuwategemea askali wa Samia.
Ulitaka akae kimya,ushuzi wenu kila mtu kasikia harufu yake mbaya.Ukisikia roporopo za aina hiyo basi ujue mwezi uko kona. Mwezi ukiwa kona jamaa yetu anaweza kuropoka kitu chochote
Wengine hawakusikia hayo mahojianoNisiwe na porojo nyingi , nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda
Naomba majibu
Kwani nani kamzuia kuropoka? Ukipenda unaweza kuungana naye muunde bendi ya waropokaji.Ulitaka akae kimya,ushuzi wenu kila mtu kasikia harufu yake mbaya.
Mirafi ndivyo ilivyo ipo tayari kufanya chochote kwa ajili ya tumbo na wengine ni misukule tu inafata mkumbo,mikijani bhana.Mileage ya nini? Kwanini mi-CCM kila wakati mnawaza vitu ambavyo havipo?? Tunazungumzia hiki nyie mnawaza uchaguzi..,.
kula za huruma ndo nini?Nyie ndo mnahisia mnahisi lisu Kila siku kulialia ndo kutamfanya apewe kula za huruma?
Kwani mkuu, ukiacha yoooteee ....kuna Mama toka Afrika Magharibi alikuwa UN naye alifukuzwa.
..labda tuangalie kama muda aliofukuzwa ni kabla au baada ya shambulizi la Tundu Lissu.
..lakini kama ni Lissu ametonywa na watu wa Ubalozi basi uwezekano wa taarifa hizo kuwa za kweli ni mkubwa sana.
Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.
Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Nyie ndo mnahisia mnahisi lisu Kila siku kulialia ndo kutamfanya apewe kura za huruma?
Kuiongelea serikali ya awamu ya 5 ambayo hata haipo madarakani, si ni yaleyale mambo ya mwaka 47?Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.
Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Kama ulikuwa hujui asilimia kubwa za mabalozo lazima wafanye kazi za kishushu...kuna balozi zina majasusi hapa nchini.
..nakushauri ukasome taarifa za CIA kuhusu Tz zilizokuwa declassified utaelewa kuwa kuna watu wanatuchunguza.
Kamanda, unaposema unadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda unamaanisha nini? Binafsi sijamsikia. Hivyo naomba uniwekee taarifa kamili kama hutojali.Nisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda.
Naomba majibu.
Mimi nakumbuka Mmoja alienda kumtembelea Akiwa Ubelgiji baada ya hapo miezi michache baadae alikuwa Summoned.....jina lake somebody Sokoine. Ila sidhani kam ni huyo au ndio tukio hiloNisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda.
Naomba majibu.
Ahaa kumbe ni wa Ulaya?Ni huyu hapa
View attachment 2906405