Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?


Ili swala serikali ilimalize mambo yaishe ,DAB anahusika kwenye Lissu's assassination attempt.
 
Huyo balozi ana vyombo vya uchunguzi au alikuwa na hisia zake kama bavicha?
Una upeo mdogo sana Ndugu.
Sijui kama unajua ubalozi ni nchi kamili.hivyo Ina vyombo vya kutosha vya ujasusi.unadhani ubalozi wa nchi kama Israel,German,UK USA,china ni wazembe?
Unajua mabalozi wengi ni majasusi?
Unajua wafanyakazi wengi wa ubalozi ni majasusi?
Unajua mfano,ubalozi wa nchi kama USA una vifaa hatati vya kijasusi kuliko hata vya baadhi ya ikulu za nchi Fulani hapa duniani?
Naomba niishie hapo.
 
Mtabakia na ujinga wenu huohuo wa kutumia neno ,"Mzee wa kiki".
Naona hata hamjui matumizi yake .toka mmelijua hamabadiliki.wenzenu wanawaona mlivyo uchi.
 
Kweli lissu akili imechoka. Kila siku anataka, haojiwe lakin anaongea nonsense. Kama kuna ushahid Lissu ni mwanasheria afungue kesi mahakamani. Sasa, kila, siku porojo tu.
Wewe unaendika hapa utadhani una kitu kichwani,kumbe kichwa kitupu TU.
 
Kwa bahati mbaya Mimi sio CCM lakini achanane siasa za matukio na kiki mahala sahihi kwa lisu kupeleka swala lake ni mahakamani uzuri ushahidi kashasema anao
Siasa zote hutokanq na matukio
 
Wewe unaendika hapa utadhani una kitu kichwani,kumbe kichwa kitupu TU.
Mm nimeongea hoja kuwa, kwann kila, siku Lissu anaongea kuhusu Makonda kutaka kumuua.Kila, akiojiwa. Kwann asiende mahakamani kuliko kupiga kelele kama, nyumbu??? Lakin nyumbu wake ambaye umechoka, sana huna hata hoja unatukana watu tu. Plz nyumbu Jenga hoja acha ujinga.
 
J

Nyumbu wengi hamna, uwezo wa, kuandika kwa hoja. Ila matusi ndio mnajua. Lowasa,alisema elimu!!Elimu!!!Kama huwezi kujenga hoja, maana yake huna elimu. Kifuatacho ni matusi.
We una hoja gani hapa?

Kwanini Lissu akisimulia Madhira yaliyompata mnachukia sana? Mlitaka afe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…