King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ni kweli hawawezi kuongelea suala hilo hadharani.
Lakini, T.L ameamsha dude(stirring up diplomatic waters) na yanaweza kusaidia uhusiano wetu au kuuharibu. Yote yatetegemea na uzito wa suala hilo.
Kuna Uzito.
Tuone bwana January ata respond vipi au EU wata respond vipi.
Balozi anaweza, sambamba na Mh. Waziri ku 'clarify or refute' Tione!
Ili swala serikali ilimalize mambo yaishe ,DAB anahusika kwenye Lissu's assassination attempt.