Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

Ni kweli hawawezi kuongelea suala hilo hadharani.

Lakini, T.L ameamsha dude(stirring up diplomatic waters) na yanaweza kusaidia uhusiano wetu au kuuharibu. Yote yatetegemea na uzito wa suala hilo.

Kuna Uzito.

Tuone bwana January ata respond vipi au EU wata respond vipi.

Balozi anaweza, sambamba na Mh. Waziri ku 'clarify or refute' Tione!

Ili swala serikali ilimalize mambo yaishe ,DAB anahusika kwenye Lissu's assassination attempt.
 
Huyo balozi ana vyombo vya uchunguzi au alikuwa na hisia zake kama bavicha?
Una upeo mdogo sana Ndugu.
Sijui kama unajua ubalozi ni nchi kamili.hivyo Ina vyombo vya kutosha vya ujasusi.unadhani ubalozi wa nchi kama Israel,German,UK USA,china ni wazembe?
Unajua mabalozi wengi ni majasusi?
Unajua wafanyakazi wengi wa ubalozi ni majasusi?
Unajua mfano,ubalozi wa nchi kama USA una vifaa hatati vya kijasusi kuliko hata vya baadhi ya ikulu za nchi Fulani hapa duniani?
Naomba niishie hapo.
 
Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.

Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Mtabakia na ujinga wenu huohuo wa kutumia neno ,"Mzee wa kiki".
Naona hata hamjui matumizi yake .toka mmelijua hamabadiliki.wenzenu wanawaona mlivyo uchi.
 
Wewe unaendika hapa utadhani una kitu kichwani,kumbe kichwa kitupu TU.
Mm nimeongea hoja kuwa, kwann kila, siku Lissu anaongea kuhusu Makonda kutaka kumuua.Kila, akiojiwa. Kwann asiende mahakamani kuliko kupiga kelele kama, nyumbu??? Lakin nyumbu wake ambaye umechoka, sana huna hata hoja unatukana watu tu. Plz nyumbu Jenga hoja acha ujinga.
 
Back
Top Bottom