Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.

Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Hayo ndio mapungufu kupita yoote.
 
Ni kweli hawawezi kuongelea suala hilo hadharani.

Lakini, T.L ameamsha dude(stirring up diplomatic waters) na yanaweza kusaidia uhusiano wetu au kuuharibu. Yote yatetegemea na uzito wa suala hilo.

Kuna Uzito.

Tuone bwana January ata respond vipi au EU wata respond vipi.

Balozi anaweza, sambamba na Mh. Waziri ku 'clarify or refute' Tione!
Sisi wanyonge tulishauri Serikali itumie vyombo huru kuchunguza hili jambo ili ukweli ujulikane.

Kukaa kim ya wasidhani kwamba yameisha.

Mwanajamii Forum 'Stuxnet' kwenye moja ya comment yake hapa juzi alitoa comment moja matata sana. Sitaki kuiamini lakini tunasubiri Uchunguzi huru.

Inaonekana kuna mambo mengi yalifanyika enzi zile ambayo hatuyafahamu
 
..kuna Mama toka Afrika Magharibi alikuwa UN naye alifukuzwa.

..labda tuangalie kama muda aliofukuzwa ni kabla au baada ya shambulizi la Tundu Lissu.

..lakini kama ni Lissu ametonywa na watu wa Ubalozi basi uwezekano wa taarifa hizo kuwa za kweli ni mkubwa sana.
Ni huyu mkuu. N kipindi hicho hicho. Hawa hawakurupuki. Wana sorces za uhakika kutoka nda ya TISS.
 
Ni huyu mkuu. N kipindi hicho hicho. Hawa hawakurupuki. Wana sorces za uhakika kutoka nda ya TISS.
Duuh....Makaburi
 
Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.

Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Kweli wewe ni "much know "

Lissu alikuwa anajibu maswali aliyokuwa akiulizwa. Sasa kama swali lilihusu shambulio lake atazungumziaje issues za umeme ambazo hajaulizwa?
 
Kweli lissu akili imechoka. Kila siku anataka, haojiwe lakin anaongea nonsense. Kama kuna ushahid Lissu ni mwanasheria afungue kesi mahakamani. Sasa, kila, siku porojo tu.
Mbona watu wengine wanashindwa kufanya analysis ya vitu hata vidogo sana. Kwenye mahojiano mhojiwa huwa anajibu kulingana na maswali yanavyoulizwa.

Kwahiyo Lissu hawezi kujipayukia tu ovyo kwa mambo ambayo hajaulizwa.

Mbona hatusikii akizungumzia juzi alikula nini usiku? Hajataja chakula alichokula kwa sababu hakuulizwa swali hilo.
 
Tunaelekea huko siku si nyingi. Aliyemshauri mama kumpatia uenezi Makonda anahusika na mchezo huu wa kutegeneza anguko la mama. Nabanahusika pia lkucheza na vyombo vya habari kumuarika Tundu Lissu kufanya mahojiano.
Mama kwenye hili kategwa
 
Ni huyu mkuu. N kipindi hicho hicho. Hawa hawakurupuki. Wana sorces za uhakika kutoka nda ya TISS.
asante
 
Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.

Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Kwa hiyo wewe ndiye unaepanga nani aseme nini na wakati gani.
 
Unaomba majibu kwa maana kwamba lissu hakutoa hayo majibu wakati anahojiwa.?

Anazidi kuweka mambo gani hadharani wakati mtoa mada bado ana maswali.?
Ndugu una tatizo mahali,nadhani hujajua staili ya mtoa mada ya kufikisha ujumbe.
Hii ni moja ya mbinu za kuhoji kitu,mtu anaweza kukuliza swali wakati majibu yote anayo..
Waliosoma Cuba wamemuelewa.
 
Back
Top Bottom