Ajenda kila siku ni Lisu?. Sisi tuna shida umeme, Sukari na mfumuko wa beiNisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda.
Naomba majibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajenda kila siku ni Lisu?. Sisi tuna shida umeme, Sukari na mfumuko wa beiNisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda.
Naomba majibu.
Hayo ndio mapungufu kupita yoote.Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.
Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Mfano Kipili ni Balozi wetu huko Nje🐼..kuna balozi zina majasusi hapa nchini.
..nakushauri ukasome taarifa za CIA kuhusu Tz zilizokuwa declassified utaelewa kuwa kuna watu wanatuchunguza.
Sisi wanyonge tulishauri Serikali itumie vyombo huru kuchunguza hili jambo ili ukweli ujulikane.Ni kweli hawawezi kuongelea suala hilo hadharani.
Lakini, T.L ameamsha dude(stirring up diplomatic waters) na yanaweza kusaidia uhusiano wetu au kuuharibu. Yote yatetegemea na uzito wa suala hilo.
Kuna Uzito.
Tuone bwana January ata respond vipi au EU wata respond vipi.
Balozi anaweza, sambamba na Mh. Waziri ku 'clarify or refute' Tione!
Ni huyu mkuu. N kipindi hicho hicho. Hawa hawakurupuki. Wana sorces za uhakika kutoka nda ya TISS...kuna Mama toka Afrika Magharibi alikuwa UN naye alifukuzwa.
..labda tuangalie kama muda aliofukuzwa ni kabla au baada ya shambulizi la Tundu Lissu.
..lakini kama ni Lissu ametonywa na watu wa Ubalozi basi uwezekano wa taarifa hizo kuwa za kweli ni mkubwa sana.
AiseeKwa bahati mbaya Mimi sio CCM lakini achanane siasa za matukio na kiki mahala sahihi kwa lisu kupeleka swala lake ni mahakamani uzuri ushahidi kashasema anao
Duuh....MakaburiNi huyu mkuu. N kipindi hicho hicho. Hawa hawakurupuki. Wana sorces za uhakika kutoka nda ya TISS.
![]()
EU envoy leaves Tanzania amid queries
The European Union Ambassador to Tanzania Roeland van de Geer leaves the country tonight in what was described simply as “being recalled back to Brussels”, The Citizen can report.www.thecitizen.co.tz
Ulisahau wewe.....watu wamepoteza ndugu zao na wengine wamebaki walemavu.Kuendelea kutumia huruma ya shambulio haina tija kwa sasa, watu tulishasahau..... mamlaka zilishalipuuza.
.Ni huyu hapa
View attachment 2906405
Kweli wewe ni "much know "Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.
Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Mbona watu wengine wanashindwa kufanya analysis ya vitu hata vidogo sana. Kwenye mahojiano mhojiwa huwa anajibu kulingana na maswali yanavyoulizwa.Kweli lissu akili imechoka. Kila siku anataka, haojiwe lakin anaongea nonsense. Kama kuna ushahid Lissu ni mwanasheria afungue kesi mahakamani. Sasa, kila, siku porojo tu.
Hili ni jambo Muhimu sana , tunataka hadi 2025 kila mhusika awe hadharaniLissu anazidi kuweka mambo hadharani.
Mama kwenye hili kategwaTunaelekea huko siku si nyingi. Aliyemshauri mama kumpatia uenezi Makonda anahusika na mchezo huu wa kutegeneza anguko la mama. Nabanahusika pia lkucheza na vyombo vya habari kumuarika Tundu Lissu kufanya mahojiano.
asanteNi huyu mkuu. N kipindi hicho hicho. Hawa hawakurupuki. Wana sorces za uhakika kutoka nda ya TISS.
![]()
EU envoy leaves Tanzania amid queries
The European Union Ambassador to Tanzania Roeland van de Geer leaves the country tonight in what was described simply as “being recalled back to Brussels”, The Citizen can report.www.thecitizen.co.tz
Leta linkNisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda.
Naomba majibu.
Lissu anazidi kuweka mambo hadharani.
Unaishi dunia ipi wewe?Huyo balozi ana vyombo vya uchunguzi au alikuwa na hisia zake kama bavicha?
Kwa hiyo wewe ndiye unaepanga nani aseme nini na wakati gani.Lisu mzee wa kiki kuliko siasa baada ya kutangaza sera na kuelezea mapungufu ya serikali ya awamu ya Tano yeye ameng'ang'ana na mambo ya mwaka 47.
Suala la umeme kwa Sasa lilopofikia linatosha kuiangusha serikali ya awamu ya sita hata Sasa achilia mbali uchaguzi wa mwakani
Ndugu una tatizo mahali,nadhani hujajua staili ya mtoa mada ya kufikisha ujumbe.Unaomba majibu kwa maana kwamba lissu hakutoa hayo majibu wakati anahojiwa.?
Anazidi kuweka mambo gani hadharani wakati mtoa mada bado ana maswali.?
Chadema ni maarufu kuliko ccmKwaiyo lisu kupigwa risasi unahisi linaweza kuiongezea milage chadema?