Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

mhogoz

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,428
Reaction score
2,414
Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu:
Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi akaana kuumwa,dogo kujaribu kuvuta mpunga kadi ikasumbua dogo alivyojielezea wakamwambia mwenye acc afike,dingi hakuweza kufika na alifariki dunia.dogo kafuatikia mirathi avuta zake mpunga amalizie masomo,jamaa wakamwambia mwenye acc yako Kuna 500000tuu,basi dogo akawaambia chukueni na hiyo.dogo akaacha na chuo.
Case 2.jamaa dada yake alikuwa mwajiriwa wa serikali ,akawa anaumwa lakini akaamua kuprocess mkopo kama 25m hivi,mkopo ukawa umeingia vizuri,Sasa kimbembe baada ya siku chache yule dada akavuta uzi.msimamizi wa mirathi hakuna kitu kwenye acc.Mambo haya yote yemenifikirisha sana kuhusu usalama wa pesa zetu.ninaomba ushauri ni nini kinatakiwa kufanyika pindi unapokuwa na kiasi kikubwa cha pesa bank,je ni benki gani hawana tabia za kijinga jinga ,au ni namna gani wakuu mnahifafhi fedha zenu
 
Ni vizuri uwe na mtu wako wa karibu au lawyer anaejua una accounts fulani zina kiasi fulani. Hizo case zote ulizotaja hakuna ushahidi zilikuwa na fedha kiasi gani exactly.
 
Kuna tatizo la ndugu wengi wa marehemu kudhani ndugu yao ana pesa nyingi bank kumbe siyo kweli.
Shida inatokea akifa wanapatwa na mshangao wakiujua ukweli marehemu hakuwa na kiasi hicho Cha pesa.
Tena wengine hugundua marehemu alikuwa na madeni ya kutupwa.
Hapana Kuna scenario unakuta mtu ameuza shamba walau m100 baada ya wiki kafariki na hakuna kinachoonekana kwenye acc,
 
Dogo sasa unataka tuache hizo pesa kwani nyie mnajua matumizi ya pesa?
 
Kuna tatizo la ndugu wengi wa marehemu kudhani ndugu yao ana pesa nyingi bank kumbe siyo kweli.
Shida inatokea akifa wanapatwa na mshangao wakiujua ukweli marehemu hakuwa na kiasi hicho Cha pesa.
Tena wengine hugundua marehemu alikuwa na madeni ya kutupwa.
Ni sawa japo hili haifichi ukweli kuwa Wafanyakazi wengi wa Mabenki huchomoa fedha kwenye account za watu mara baada ya kuona account ipo domant ndani ya miezi 3 hadi sita wakiamini kwamba wateja wanaweza kuwa wamekufa.

Refer kesi ya mzee mmoja kule Arusha dhidi ya NMB kwa kuchukuliwa kwa 100M kwenye account yake kinyemela.
 
Mahakama kabla ya kuamuru pesa za marehemu zitolewe bank huwa inaitisha bank statement ya kuanzia siku marehemu amefariki mpaka current date. Hivyo kama Kuna miamala ilifanyika kipindi marehemu ameshafariki itaonekana na bank itakuwa responsible. Very simple.
Hizo hela mnazodhani wameziacha bank huwa hazipo. Nimefanya issue za mirathi sana, familia nyingi huwazinakuwa disappointed. Mnadhani mzee kapokea mafao, mnamtanguliza mbele za haki, mkienda bank mnakuta hola😆😆😆 kuua mmeua na mirathi hakuna.
 
Ni sawa japo hili haifichi ukweli kuwa Wafanyakazi wengi wa Mabenki huchomoa fedha kwenye account za watu mara baada ya kuona account ipo domant ndani ya miezi 3 hadi sita wakiamini kwamba wateja wanaweza kuwa wamekufa.

Refer kesi ya mzee mmoja kule Arusha dhidi ya NMB kwa kuchukuliwa kwa 100M kwenye account yake kinyemela.
Hii nimeona pia, Kwa marehemu huwa inatokea pale ndugu wanapopeleka taarifa bank kwamba mtu huyu amefariki Kwa hiyo account izuiwe kufanya transactions, hiyo msg ikikuta staff asie mwaminifu anaweza akaanza kucheza na hiyo account badala ya kuizuia isifanye miamala. Mirathi ikitoka mnakuta hakuna pesa. Lakini hii mara nyingi bank huwa wanalipa maana investigation ikifanyika itaonyesha pesa zilitolewa wakati mwenyewe ameshafariki, pia itaonyesha aliezitoa sio yeye. Kuna watu hawaogopi hata laana ya marehemu😡
 
Kuna uhini unafanywa na watu wa Benk. Mzee alipo fariki bank ilisitisha matumizi ya account yake pasipo kupokea taarifa kutoka mahakamani. Na tulipoenda kuwauliza wakadai hata wao hawajui nani aliifunga hiyo account.
 
Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu:
Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi akaana kuumwa,dogo kujaribu kuvuta mpunga kadi ikasumbua dogo alivyojielezea wakamwambia mwenye acc afike,dingi hakuweza kufika na alifariki dunia.dogo kafuatikia mirathi avuta zake mpunga amalizie masomo,jamaa wakamwambia mwenye acc yako Kuna 500000tuu,basi dogo akawaambia chukueni na hiyo.dogo akaacha na chuo.
Case 2.jamaa dada yake alikuwa mwajiriwa wa serikali ,akawa anaumwa lakini akaamua kuprocess mkopo kama 25m hivi,mkopo ukawa umeingia vizuri,Sasa kimbembe baada ya siku chache yule dada akavuta uzi.msimamizi wa mirathi hakuna kitu kwenye acc.Mambo haya yote yemenifikirisha sana kuhusu usalama wa pesa zetu.ninaomba ushauri ni nini kinatakiwa kufanyika pindi unapokuwa na kiasi kikubwa cha pesa bank,je ni benki gani hawana tabia za kijinga jinga ,au ni namna gani wakuu mnahifafhi fedha zenu
Mkuu acha UPOTOSHAJI

Hizi huwa ni KASUMBA za kimasikini na kijinga sana huko mitaani kudhania Marehemu alikua na pesa nyingi sana Bank na baada ya kufa Bank wanaiba

Visa vyote ulivyo vitoa hapa ume assume marehemu walikua na pesa nyingi Bank na hauna ushahidi wowote..... Hujui pengine marehemu alitoa hela baada ya mkopo wala hujui huyo dingi alikua anamuwekea huyo dogo sh ngapi, ume assume ni hela ndefu tu

Sisemi kwamba hakuna watumishi wahuni, Lakini Bank kuna kitu kinaitwa Bank Statement..., Hii haidanganyi.
Msimamizi wa mirathi ana haki ya kupewa Bank statement ya toka tarehe marehemu amekufa na kama kuna transactions zozote zitaonekana tu
 
Back
Top Bottom