Hii ni chai.Ni banki kubwa tuu yaani,kwa sababu za kisheria siwezi kutaja majina
Lkn pia kuna uhuni hufanywa na baadhi ya wanafamilia. Kuna wengine huwa na kadi na pin number za marehemu...ukute alipokuwa hai alikuwa anatumwa kutoa pesa sasa muhusika mwenye akaunti akifa unakuta jamaa anaendelea kujitolea pesa fresh hata process za mirathi zikikamilika bank wanafamilia wanaambulia either pesa zimeisha au kuna upungufu wa hela. Na ndio maana bank ikipata taarifa hata verbal tu au kama mteja anafahamika na watu wa bank na wakajua kama amefariki wanazuia kutoka kwa pesa mpk wahusika walete bank documents za mirathiKuna uhini unafanywa na watu wa Benk. Mzee alipo fariki bank ilisitisha matumizi ya account yake pasipo kupokea taarifa kutoka mahakamani. Na tulipoenda kuwauliza wakadai hata wao hawajui nani aliifunga hiyo account.
Kwann msiombe statement!?Hapana Kuna scenario unakuta mtu ameuza shamba walau m100 baada ya wiki kafariki na hakuna kinachoonekana kwenye acc,
Hili linawezekana kabisa.Ni sawa japo hili haifichi ukweli kuwa Wafanyakazi wengi wa Mabenki huchomoa fedha kwenye account za watu mara baada ya kuona account ipo domant ndani ya miezi 3 hadi sita wakiamini kwamba wateja wanaweza kuwa wamekufa.
Refer kesi ya mzee mmoja kule Arusha dhidi ya NMB kwa kuchukuliwa kwa 100M kwenye account yake kinyemela.
Nikweli unavosema, niliwahi mpeleka mke Wa boss hospital, alipomaliza yake kukagua gari akaona kadi za bank, akaniambia twende nikatoe hela takupa nawewe ya matumizi, demu alipotoka ATM jasho linatoka salio limebaki laki 2,tukahamia tawi jingine huko nako Kuna elfu 70.hatukuamini Lakin ndio hivo.Kuna tatizo la ndugu wengi wa marehemu kudhani ndugu yao ana pesa nyingi bank kumbe siyo kweli.
Shida inatokea akifa wanapatwa na mshangao wakiujua ukweli marehemu hakuwa na kiasi hicho Cha pesa.
Tena wengine hugundua marehemu alikuwa na madeni ya kutupwa.
Nikweli wakijua tu hakuna mtakachopata.Watu wanazitetea benki kwa sababu hayajawakuta, lakini mtu akifariki wafanyakazi wa benki ni wezi, wakigundua mtu kafa, wao ndio wakwanza kukutaarifu kuwa fedha zimesharudishwa BOT, uongo mtupu
Hapo anakuwa ameuwawa kichawi ili watu wakombe pesa . Hii Dunia ina mambo ya hovyo sanaHapana Kuna scenario unakuta mtu ameuza shamba walau m100 baada ya wiki kafariki na hakuna kinachoonekana kwenye acc,