Ni baraka kwa introvert kujifahamu kuwa ni introvert na kuamua kuutumia uintrovert wake kwa manufaa!

Ni baraka kwa introvert kujifahamu kuwa ni introvert na kuamua kuutumia uintrovert wake kwa manufaa!

elon must sio introvert. hebu mwondoe.
Mkuu, siyo mimi niliyesema hivyo, ni wanasaikolojia wa Marekani na kwingineko huko dunianai! Hata yeye mwenyewe, Elon Musk, alishakiri kuwa ni Introvert!

Ingia mtandaoni, hasa Quora, halafu uandike mojawapo ya hizi title:
1. THE FAMOUS INTROVERTED SCIENTISTS

2. VERY SUCCESSFUL ENTREPRENEURS WHO ARE INTROVERTS

3. FAMOUS LEADERS WHO ARE INTROVERTS, n.k.

Nimependekeza mtandao wa Quora kwa sababu ni mojawapo ya mitandao inayoonekana ina wasomi wengi kutoka sehemu mablimbali duniani.

Naamini ufafanuzi utakaoupata humo utakuridhisha.

Waliosema Elon Musk ni Introvert ni "wao", na mimi nilipozisoma baadhi ya sifa zake, nimejiridhisha kuwa wako sahihi.

Introvert nawajua, na Extrovert nawafahamu!

Elon Musk ni Introvert!!!
 
Mimi mtu akishaanza “Mimi ni introvent” & blahblah… he/she is cancelled!
Ukweli ni kwamba wengi hawajui kama ni Introvert, wakati mwingine na wenyewe wanajishangaa kwa nini ni tofauti na wengine.

Na kama hawajui utofauti wa introvert na extrovert, huweza kuwashangaa maextrovert na kuwaona kama ni watu wazima wenye akili za kitoto na wasiofikiria.

Naamini hata hayati Magufuli hakufahamu kuwa yeye ni Choleric. Angejua, ingemsaidia zaidi ya ilivyomsaidia bila kujua.
 
Hakuna kitu sipendi kama mtu kujisifu yeye ni introvent.

Like, who cares? Wewe endelea kuwa hivyo kwanini utuambie?
Kwa asili yao si rahisi ajisifie, ni miongoni mwa watu wasiopenda ukimbelembele. Na asilimia kubwa hawajui kwa nini wako vile walivyo.

Ukimkuta mtu anajisifia kuwa yeye ni introvert, inawezekana akawa anaigiza. Huna budi kuchukua tahadhari, huenda anataka "akuingize mjini".
 
Mkuu, mimi nafikiri utapeli na uchawa ni tabia ya kujifunza, kila mtu anaweza kuwa nayo aliamua, bila kujali kama ni introvert au extrovert.

Lakini uintrovert na uextrove ni ya kuzaliwa nayo.
Si kweli... Tabia unazoweza kuzaliwa nazo ni zile za kurithi tu

Ukimya chanzo chake kikuu ni aina ya malezi aliyolelewa mhanga
 
Si kweli... Tabia unazoweza kuzaliwa nazo ni zile za kurithi tu

Ukimya chanzo chake kikuu ni aina ya malezi aliyolelewa mhanga
Ukimya si tabia pekee ya Introvert! Na, imethibitika Kisayansi kuwa mtu kuwa Introvert au Extrovert hakuhusiani na malezi.

Malezi yanawezaje kumfanya mtoto wa miezi minne kuwa introvert au extrovert?

Mimi siyo NEUROSURGEON, wala si MTAALAM WA SAIKOLOJIA, ninachokifahamu ni kile tu ambacho nimejifunza kwa hao wataalam kupitia vitabu vyao au nimegundua kwa "bahati".

Yafuatayo ni maelezo machache kutoka kitabu cha ON THE PSYCHOLOGY OF PERSONALITY. Jisomee mwenyewe.

"Studies have shown that behavioral markers for introversion/extroversion can be reliably detected as early as 4 - months of age. Given this, a genetic basis for introversion (as well as extroversion) is likely.

Dopamine levels and the structure of dopamine receptors underlie this temperament difference between Introverts and Extroverts. In broad strokes, Introverts have high baseline levels of cognitive stimulation and arousal even at rest and thus are constantly trying to avoid any additional visual and social stimuli. So when they are trying to concentrate, nearby noises or people becomes distracting and pushes them over their optimal level arousal. Extroverts, on the other hand, are at a constant arousal deficit and require stimuli to compensate and bring them to their optimal level. So they seek out places with lots of people, loud music, or interesting visuals.

When introverts are pushed over their comfortable level of arousal, they have to bring in additional mental resources to filter out or handle the overload. This cause fatique, and over time, they learn to avoid stimulation that lead to this.

Extroverts are the opposite. They need environmental stimulation just to be at their optimal arousal level i.e., the right balance between being bored and being excited. They go to parties and feel more energized from interesting with everyone and being in the midst of a lively social setting".

Mwisho wa kunukuu!
 
Back
Top Bottom