kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Yalikuwa yanaamsha si kawaidaZama zimebadilika aisee, wakati zamani Champion ndio ilikuwa gari ya kwanza kwa safari ya Dom - Dar yaani saa 5 na nusu asumbuhi ngoma inaitafuta Kimara imeondoka Dom saa 12 alfajiri
Dar mwanza hana,t 666csn nyuma imeandikwa bukoba sio lugoba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna za kigoma na swanga nahisi na mwanza anazo mpya kuna ile T 666 csm inatokea dar bukoba via kahama na hii T246 Dch jamaa gari zake zote engine scania body la kuchonga[emoji81][emoji38]
Juzi kati ABC na masterlux nao wameanzisha root dar mbeyaBola upande golden deer au newforce na sauli kwa safari ya mbeya tunduma sipandi tofaut na hayo
Happy nenga ya bkb ameiandika nyegera waitu saa nne asbh unakula matokeKuna mabasi ya aina tofauti kutegemea umri yako ya vijana huenda spidi ya mwewe yako ya watu wa makamo na wazee
Hilo happy nation la Mbeya ni kwa ajili ya wazee ulijichanganya ungepanda Sauli
Kama wewe kijana panda happy nation ya kwenda Bukoba uone mziki wake ndio huwa la kwanza kufika Bukoba toka Dar
[emoji81][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji119][emoji119][emoji119] aah apa nimecheka aisee [emoji119][emoji119] mohamed trans sizan kama yapo saiiiMwaka 2006 nilipanda basi ya Mohammed Trans kutoka Dar kuelekea Mwanza, safari ilianza vizuri tu kuanzia Dar hadi Dodoma hakukuwa na shida yoyote, kufika Manyoni ilikuwa bado ni vumbi kipindi hicho ikaanza kunukia ile harufu ya vyuma (Madereva na mafundi watanielewa hapa) lakini basi iliendelea kutembea hivyo hivyo. Nilikuwa nimekaa upande wa kushoto seat No. 45 kutoka mbele ndipo zilipo tairi za nyuma. Tukapita Ikungi hadi ilikuwa imebaki kama 20km kufika Singida mjini ndipo tairi zote mbili za nyuma upande niliokaa zilichomoka na kuelekea porini huku nikiwa naziona jinsi zilivyokuwa zikikimbia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Aisee basi iliserereka na kusimama.
Watu wote tulishuka kwenye basi kufika chini iligundulika kuwa stadi zote zimekatika!! Hiyo ilikuwa jioni majira ya saa 11 hivi. Tulikaa pale hadi saa 2 usiku. Tangu siku hiyo niliichukia sana kampuni ya mabasi ya Mohammed Trans
Happy Nation ya Bukoba namba ingineHappy nenga ya bkb ameiandika nyegera waitu saa nne asbh unakula matoke
Mabus ya 3 by 2 mengi huwa bodi ni za kuchongeaKuna siku nilikuwa natoka singida kwenda Dar kukata tiketi gari zote zimejaa nikajilipua nikapanda gari inaitwa TURU BEST singida to mbeya ili nishukie dodoma bwana weee kwanza gari ni 3 by 2 mlango wa hovyo dah kabla sijapanda nilijilaumu sana ila nilifurahi maana dereva alikuwa anamwaga maji hatari ule ni zaidi ya mwendo chombo inapepea hatari
Hiyo ni true stori mzee usinicheke nipe pole kwanza, maana dah! Pata picha tairi zimekatika tena chini ya seat uliyokaa, then unaziona zinavyokimbilia mabondeni dah! [emoji2365][emoji2365][emoji2365][emoji81][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji119][emoji119][emoji119] aah apa nimecheka aisee [emoji119][emoji119] mohamed trans sizan kama yapo saiii
Pole sana mkuuu nimecheka hapo tairi inakimbia unaiona [emoji23]Hiyo ni true stori mzee usinicheke nipe pole kwanza, maana dah! Pata picha tairi zimekatika tena chini ya seat uliyokaa, then unaziona zinavyokimbilia mabondeni dah! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Yaani kama movie vilePole sana mkuuu nimecheka hapo tairi inakimbia unaiona [emoji23]
Kanda ya kati,ila now anaenda mbeya kutokea darAbc ni wa kanda ya ziwa tu sindio