Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Kuna basi jina MTOTO GEMA!!
DODOMA -TABORA, hizi gari sio mbovu, shida Zina mwendo sana , mwendo kasi sana kama una presha sikushauri kupanda,!!
Nasijui kama Bado yapo maana ni muda mrefu na Sasa situmiii usafiri wa uma.
 
Kuna za kigoma na swanga nahisi na mwanza anazo mpya kuna ile T 666 csm inatokea dar bukoba via kahama na hii T246 Dch jamaa gari zake zote engine scania body la kuchonga[emoji81][emoji38]
Dar mwanza hana,t 666csn nyuma imeandikwa bukoba sio lugoba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mabasi ya aina tofauti kutegemea umri yako ya vijana huenda spidi ya mwewe yako ya watu wa makamo na wazee

Hilo happy nation la Mbeya ni kwa ajili ya wazee ulijichanganya ungepanda Sauli

Kama wewe kijana panda happy nation ya kwenda Bukoba uone mziki wake ndio huwa la kwanza kufika Bukoba toka Dar
Happy nenga ya bkb ameiandika nyegera waitu saa nne asbh unakula matoke
 
Na bahati mbaya, wenye mabasi wengi walikuwa wahuni kabla. Na ndiyo sababu hawajali uhuni unaofanywa na watumishi wao, as long as pesa inapatikana
Kweli kabisa mkuuu
 
Mwaka 2006 nilipanda basi ya Mohammed Trans kutoka Dar kuelekea Mwanza, safari ilianza vizuri tu kuanzia Dar hadi Dodoma hakukuwa na shida yoyote, kufika Manyoni ilikuwa bado ni vumbi kipindi hicho ikaanza kunukia ile harufu ya vyuma (Madereva na mafundi watanielewa hapa) lakini basi iliendelea kutembea hivyo hivyo. Nilikuwa nimekaa upande wa kushoto seat No. 45 kutoka mbele ndipo zilipo tairi za nyuma. Tukapita Ikungi hadi ilikuwa imebaki kama 20km kufika Singida mjini ndipo tairi zote mbili za nyuma upande niliokaa zilichomoka na kuelekea porini huku nikiwa naziona jinsi zilivyokuwa zikikimbia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Aisee basi iliserereka na kusimama.
Watu wote tulishuka kwenye basi kufika chini iligundulika kuwa stadi zote zimekatika!! Hiyo ilikuwa jioni majira ya saa 11 hivi. Tulikaa pale hadi saa 2 usiku. Tangu siku hiyo niliichukia sana kampuni ya mabasi ya Mohammed Trans
[emoji81][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji119][emoji119][emoji119] aah apa nimecheka aisee [emoji119][emoji119] mohamed trans sizan kama yapo saiii
 
Dar mwanza hana,t 666csn nyuma imeandikwa bukoba sio lugoba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo iyo iyo [emoji81][emoji23][emoji23] ndani mavitambaaa kama yote yani unapanda basi kama upo seblen au chumbani
 
Kuna siku nilikuwa natoka singida kwenda Dar kukata tiketi gari zote zimejaa nikajilipua nikapanda gari inaitwa TURU BEST singida to mbeya ili nishukie dodoma bwana weee kwanza gari ni 3 by 2 mlango wa hovyo dah kabla sijapanda nilijilaumu sana ila nilifurahi maana dereva alikuwa anamwaga maji hatari ule ni zaidi ya mwendo chombo inapepea hatari
 
Mabus ya 3 by 2 mengi huwa bodi ni za kuchongea
 
[emoji81][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji119][emoji119][emoji119] aah apa nimecheka aisee [emoji119][emoji119] mohamed trans sizan kama yapo saiii
Hiyo ni true stori mzee usinicheke nipe pole kwanza, maana dah! Pata picha tairi zimekatika tena chini ya seat uliyokaa, then unaziona zinavyokimbilia mabondeni dah! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
 
Hiyo ni true stori mzee usinicheke nipe pole kwanza, maana dah! Pata picha tairi zimekatika tena chini ya seat uliyokaa, then unaziona zinavyokimbilia mabondeni dah! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Pole sana mkuuu nimecheka hapo tairi inakimbia unaiona [emoji23]
 
Dodoma iyo naskia mmiliki wa frester ni mtu wa bukoba.
 
Back
Top Bottom