Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Simba mtoto
Alhushum
Kamwana express
Superbaraka
Champion
First choice
Hahahah miaka hiyo nasoma ndo zilikuwa gari zangu natoka dom asubuhi nafika moro jion

#Nilivyojanjaruka hahaha hawanipati hata kidogo
 
Ally's Mwanza - Dar. Ile safari sitakaa niisahau, gari ilikua imepulizwa Manukato flani yaliyokua yanatoa harufu mbaya sana yani nilikereketwa mwanzo hadi mwisho wa safari, nilipata tabu sana, nilifika Dar nikiwa hoi bin tahabani
 
Mmetaja hadi gari yangu mngejua bei ya zile tairi 8 tu na rim zake ni bei ya IST msingeleta mazarau
 
Luwinzo ..njombe ..dar humo tulipanda na bata mbuz na watu wamekaa kwenye vindoo Kama siti


Princess muro arusha ..dar sitasahau tulitoka arusha saa tatu dar tuliingia saa kumi alfajir
 
Arizona DAR - KIGOMA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaolijua watanisaidia kuelezea sifa zake.
 
Basi la majinja nilipanda baada ya kushuka kwenye private car kutokea ruaha mbuyuni,nilipandia moro likiwa limetoka sumbawanga nilikalishwa kwenye corridor ya basi juu ya ndoo ya plastic nilikuwa very disgusted lakini nikajipa moyo "bora nimepandia moro" !
 
Back
Top Bottom