Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ivi kisbo sindo ili gali kipindi cha nyuma walikuwaga wakikutana salamu yao wanapishana wakulia anahamia kushoto kushoto anahamia kulia sasa siku moja akatokea alikuwa dereva ni mgeni hajui salamu za wenzie.

Jamaa kukalibiana dereva mzoefu akampigia..
Pass wapishane kama salamu yao ilivo kawaida yule dereva mgeni akaludisha pass akajua anasalimiwa maana kampuni ni moja kusalimiana muhimu sasa maana ya pass kwao ilikuwa wanamaanisha wa exchange njiaa dereva mzoefu akalileta kama kawa jamaa walikutana uso kwa uso babaaake jina la hii kampuni zamani sijui lilikuwa linaitwaje baada ya kukaa mda mrefu ndo wakabadili usajili wa jina wakaja na hii kisbo.
Daah hao jamaa mafalaa sanaa...!! Itakuwa walifariki watu wengi...
 
Yeah wengi sana liliuwa sana walikaa kitambo maana walifungiwa ndo wakaja upya na hii kisbo
 
Ivi kisbo sindo ili gali kipindi cha nyuma walikuwaga wakikutana salamu yao wanapishana wakulia anahamia kushoto kushoto anahamia kulia sasa siku moja akatokea alikuwa dereva ni mgeni hajui salamu za wenzie.

Jamaa kukalibiana dereva mzoefu akampigia..
Pass wapishane kama salamu yao ilivo kawaida yule dereva mgeni akaludisha pass akajua anasalimiwa maana kampuni ni moja kusalimiana muhimu sasa maana ya pass kwao ilikuwa wanamaanisha wa exchange njiaa dereva mzoefu akalileta kama kawa jamaa walikutana uso kwa uso babaaake jina la hii kampuni zamani sijui lilikuwa linaitwaje baada ya kukaa mda mrefu ndo wakabadili usajili wa jina wakaja na hii kisbo.

Umechanganya ni city boy na ilikua city boy kwa city boy. Ilikua manyoni na baada ya ile lile tukio ndio serikali ikaja mfumo wa kulinda mwendo wa magari
 
Wale wahuni wanaitwa city boy ni tofauti na kisbo! Hadi leo hao city boy wapo barabarani..
 
Umechanganya ni city boy na ilikua city boy kwa city boy. Ilikua manyoni na baada ya ile lile tukio ndio serikali ikaja mfumo wa kulinda mwendo wa magari
Yaaa nimekumbuka ndo hio mkuuu asante umenikumbusha
 
Basi jingine ni Zakaria nililipanda 2010 nilikua naifata mali yangu moja Tarime.Manina basi lina utemi lile mpaka kuku anakudindia .Mpaka nafika Tarime ngumi zaidi ya 3 zilipigwa.Tarime kuna hali ya hewa safi saaana.Gigolo wangu D bamdogo wako bado nakukumbuka kinyama.
 
Humo kulikua na boxing ground [emoji81][emoji38][emoji16]
 
Basi la KVC ilikuwa 2012 Dar to Arusha, aisee nilijuta kwanza lile basi siti zake ni za kuunga(modified) zimebana kiasi kwamba watu warefu kidogo kama mimi unakaa kwa shida, nilikaa upande wa dirisha kioo kulikuwa kinapiga kelele mwanzo mwisho. Basi lenyewe mwendo halina tulifika Usa-river gari likachemsha saa mbili usiku sijawahi kuchoka na safari kama vile.
 
Kuna gari zinaitwa bibi na bwana (Mtei na Kimotco) hizo zinakokotana kidogo kidogo mpaka mfike umepata sugu za makalio

Kuna gari inaitwa farasi au gari ya vijana (Coast Line) hiyo ni moto wa kuotea mbali. Kwenye utani mzee mmoja anasema alipanda ile anahangaika kutafuta siti amepata anasema akae anasikia mzee shuka umeshafika. Siku nyingine tena anasema alipewa zawadi ya kuku kwa bahati mbaya akatoa mkono nje kwenye kioo akiwa ameshika yule kuku gari ikiwa kwenye mwendo basi kufika kwake hakukuwa tena na haja ya kumnyonyoa yule kuku... hata hivyo mzee yule kwa sasa ni marehemu, Mungu amlaze mahala pema
 
Kuna hizi kisbo za Kahama to Dar,sitopanda tena.yani wahudumu ni wakorofi hatari.Kondakta kupigana mangumi na abiria katikati ya safari ni jambo la kawaida kabisa.
 
Bembea ya Tanga-Dar, tulitoka Tanga saa moja asubuhi tukafika Dar saa mbili usiku nikasema sitakuja kuipanda

Kupanda bus safari ya Dar - Mwanza nilisema sitarudia tena baada ya kupanda bus Ubungo saa kumi na mbili tukafika Mwanza saa tisa usiku. Nikasema sitasafiri na bus tena. Toka 2015 sijawahi panda tena bus safari ya Dar-Mwanza

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Nambukamwaka 2005 ile ilikuwa kampuni ya tashirifu Dar-singida bado Janki janki niko na mother tumekaa siti ya karibu na dereva tunaelekea singida tumefika manyoni pale gari tunaona inatoa moshi mbele na hapa kwa dereva

Huko nyuma watu walipo tokea hata hatujui...
Tulipitwa watu walijua gari inaungua tulitokea..
Madirishani dereva akaulizwa kunani aka fungua bonet pale mbele kumbe rejeta ilichemsha siku ile ilikuwa noma..

Tuliganda masaa mawili pale ndo gari ikapona.
 
Kuna gari zinaitwa bibi na bwana (Mtei na Kimotco) hizo zinakokotana kidogo kidogo mpaka mfike umepata sugu za makalio

Kuna gari inaitwa farasi au gari ya vijana (Coast Line) hiyo ni moto wa kuotea mbali. Kwenye utani mzee mmoja anasema alipanda ile anahangaika kutafuta siti amepata anasema akae anasikia mzee shuka umeshafika. Siku nyingine tena anasema alipewa zawadi ya kuku kwa bahati mbaya akatoa mkono nje kwenye kioo akiwa ameshika yule kuku gari ikiwa kwenye mwendo basi kufika kwake hakukuwa tena na haja ya kumnyonyoa yule kuku... hata hivyo mzee yule kwa sasa ni marehemu, Mungu amlaze mahala pema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kuna hizi kisbo za Kahama to Dar,sitopanda tena.yani wahudumu ni wakorofi hatari.Kondakta kupigana mangumi na abiria katikati ya safari ni jambo la kawaida kabisa.
Izo gari huwa kuna manzi yangu mmoja anazisifiaga kweli sa sijui hajui magari
 
Bembea ya Tanga-Dar, tulitoka Tanga saa moja asubuhi tukafika Dar saa mbili usiku nikasema sitakuja kuipanda

Kupanda bus safari ya Dar - Mwanza nilisema sitarudia tena baada ya kupanda bus Ubungo saa kumi na mbili tukafika Mwanza saa tisa usiku. Nikasema sitasafiri na bus tena. Toka 2015 sijawahi panda tena bus safari ya Dar-Mwanza

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Safari ya tanga ilikuaje mkachelewa hivyo mbona ni route fupi sana mkuu
 
Ivi kisbo sindo ili gali kipindi cha nyuma walikuwaga wakikutana salamu yao wanapishana wakulia anahamia kushoto kushoto anahamia kulia sasa siku moja akatokea alikuwa dereva ni mgeni hajui salamu za wenzie.

Jamaa kukalibiana dereva mzoefu akampigia..
Pass wapishane kama salamu yao ilivo kawaida yule dereva mgeni akaludisha pass akajua anasalimiwa maana kampuni ni moja kusalimiana muhimu sasa maana ya pass kwao ilikuwa wanamaanisha wa exchange njiaa dereva mzoefu akalileta kama kawa jamaa walikutana uso kwa uso babaaake jina la hii kampuni zamani sijui lilikuwa linaitwaje baada ya kukaa mda mrefu ndo wakabadili usajili wa jina wakaja na hii kisbo.
Hii story niliwahi kuisikia, wapuuzi sana
 
Back
Top Bottom