Ni basi tu Siasa zetu za Mpira ila Simba SC kama mngemsajili Joseph Guede kutoka Yanga SC kama Free Agent nina uhakika katika Striking tungelamba dume

Ujue sielewi sometimes yanga tunakwama sana

Kumuacha Guede na kumleta baleke ni terrible mistake sana

Jamaa alikuja kati kati ya ligi na aka click chap sana vipi baleke akizingua?
 
Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
Hata mimi niliwashangaa sana Simba kutomchukua Guede ambaye wanajua ubora wake badala yake wanahangaika na wachezaji ambao wameletewa tu. Tena Guede angekuwa na hasira na Yanga kama ilivyokuwa kwa Amisi Tambwe enzi hizo. Guede ana vitu adimu sana kwenye mguu wake. Ndio maana hata Yanga wameamua kuwapelekea Singida ili akiclick wamchukue tena.
 
Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
Mmh hakuna kitu pale nafasi alizokuwa anatengenezewa pale yanga na bado halikuwa hafungi nilikuwa nashangaa sana.
Angekuwa simba huyo nakuhakikishia msimu ungeisha hajapata ata goli moja!
 
Ujue sielewi sometimes yanga tunakwama sana

Kumuacha Guede na kumleta baleke ni terrible mistake sana

Jamaa alikuja kati kati ya ligi na aka click chap sana vipi baleke akizingua?
Akili za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…