GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guede namkubali sana, mtu hasa.Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
Hata Mimi Mkuu namkubali ile mbaya.Guede namkubali sana, mtu hasa.
Usinikumbushe machungu, nisije kulia bure😣
Hata mimi niliwashangaa sana Simba kutomchukua Guede ambaye wanajua ubora wake badala yake wanahangaika na wachezaji ambao wameletewa tu. Tena Guede angekuwa na hasira na Yanga kama ilivyokuwa kwa Amisi Tambwe enzi hizo. Guede ana vitu adimu sana kwenye mguu wake. Ndio maana hata Yanga wameamua kuwapelekea Singida ili akiclick wamchukue tena.Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
Mmh hakuna kitu pale nafasi alizokuwa anatengenezewa pale yanga na bado halikuwa hafungi nilikuwa nashangaa sana.Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
Akili za kijinga.Ujue sielewi sometimes yanga tunakwama sana
Kumuacha Guede na kumleta baleke ni terrible mistake sana
Jamaa alikuja kati kati ya ligi na aka click chap sana vipi baleke akizingua?
Hao yanga walimchukua OKRAH MAGIC, yuko wapi leoNapongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.