Usimkatishe tamaa mpe moyo wa kupambana ...walimwengu Sijui mpojeWrite your reply... Kwa mtaji huo kutoboa ni ngumu labda uwe na kimbola
Kabisa yaani sema msimu wa mwaka huu uliingiliwa na kibwengo mambo yakawa mengiInalipa Ukipata eneo nzuri la biashara halafu huko Mtwara msimu wa korosho unapiga pesa wamakonde kwa kuvaa hawana ubahili wakiwa na pesa za korosho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilishajiandaa kuja dar kufata mzigo chuo wangekua wananiona kwa muda tu....ila dahInalipa Ukipata eneo nzuri la biashara halafu huko Mtwara msimu wa korosho unapiga pesa wamakonde kwa kuvaa hawana ubahili wakiwa na pesa za korosho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sio msimu huu tu toka aingie jamaa Ikulu huko hali ya biashara si nzuri enzi za kikwete ukipeleka biashara msimu wa korosho faida ipo nzuriKabisa yaani sema msimu wa mwaka huu uliingiliwa na kibwengo mambo yakawa mengi
Iyo biashara itakuwa na mtihani kwake,atakuwa anaifanya kificho kifichoBado hawajataja forex tu!!!!
Jamaa kaleta uchuro hahahahaahhaSio msimu huu tu toka aingie jamaa Ikulu huko hali ya biashara si nzuri enzi za kikwete ukipeleka biashara msimu wa korosho faida ipo nzuri
Ananifanya nifikirie kulima matikitiSio msimu huu tu toka aingie jamaa Ikulu huko hali ya biashara si nzuri enzi za kikwete ukipeleka biashara msimu wa korosho faida ipo nzuri
Chukua nguo za wanawake na vipodozi ila si kwa kipindi hiki hali ikiwa vizuri huko MtwaraNilishajiandaa kuja dar kufata mzigo chuo wangekua wananiona kwa muda tu....ila dah
Yeah sasa hivi bado sana na Mimi sipendi mtindo wa kukopana jamani...Chukua nguo za wanawake na vipodozi ila si kwa kipindi hiki hali ikiwa vizuri huko Mtwara
Hahaha utaweza kweli mamyAnanifanya nifikirie kulima matikiti
Watu wa huko kwa sasa pesa ya mawazo hata msimu wa korosho ni majangaYeah sasa hivi bado sana na Mimi sipendi mtindo wa kukopana jamani...
Acha utoto kijana,watu wanapozungumzia kuhusu maisha unatakiwa ukae kimya kama hujui hulifanyalo,Ukikua utakuwa na heshama endelea kula kwa shemeji yakoUza misokoto ya bange
Yaani watu wanapenda kukopa Sijui kwanini dohWatu wa huko kwa sasa pesa ya mawazo hata msimu wa korosho ni majanga
Dear si kusimamia tu hahahaha nitaweza bahati nzuri Mimi sio slaykwini natimba shamba vizuri tu hahahahaHahaha utaweza kweli mamy
Kukopa faida ipo tena faida haramu yaani nguo umenunua buku kumi unauza buku kumi na tano Sema upate wateja waaminifu ukiwaambia siku fulani nakuja kufata pesa yangu hakuna kuzungushana.Yaani watu wanapenda kukopa Sijui kwanini doh
Ngoja aje manengelo yuko vizuri upande huo wa kilimoDear si kusimamia tu hahahaha nitaweza bahati nzuri Mimi sio slaykwini natimba shamba vizuri tu hahahaha
Oooh nitamcheki napenda sana kilimo na ufugaji....namshukuru mungu kufuga nimeanza naendelea vizuri bado huku kwenye kilimo....Ngoja aje manengelo yuko vizuri upande huo wa kilimo
Sema unataka kulima zao gani na unahitaji ushauri ganiOooh nitamcheki napenda sana kilimo na ufugaji....namshukuru mungu kufuga nimeanza naendelea vizuri bado huku kwenye kilimo....
MatikitiSema unataka kulima zao gani na unahitaji ushauri gani