Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Inalipa Ukipata eneo nzuri la biashara halafu huko Mtwara msimu wa korosho unapiga pesa wamakonde kwa kuvaa hawana ubahili wakiwa na pesa za korosho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kabisa yaani sema msimu wa mwaka huu uliingiliwa na kibwengo mambo yakawa mengi
 
Inalipa Ukipata eneo nzuri la biashara halafu huko Mtwara msimu wa korosho unapiga pesa wamakonde kwa kuvaa hawana ubahili wakiwa na pesa za korosho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilishajiandaa kuja dar kufata mzigo chuo wangekua wananiona kwa muda tu....ila dah
 
Nenda maduka ya jumla ya vipodozi vile vya kawaida
Yaani vya bei ya chini
Mafuta ya nazi mnara,
Sabuni za magadi
Mafuta ya nywele na ngozi yale ya 1500
Henna
Chanuo
Vibanio
Sabuni kama family ,mo za kuogea
Zungusha kwenye minada

Dar es salaaam kuna minada siku saba za wiki
 
Back
Top Bottom