Ni biashara ipi ndogo sana uliifanya ikakufikisha kwenye mafanikio makubwa?

-Aisee maisha ni safari isiyo na likizo,na UJASIRIAMALI ni mapambano ya kutumia fursa mbele yako iliyo Kama kikwazo...

-biashara yangu ya kwanza ilikua ni kuuza mbogamboga kwa wateja wa jumla na nilianza na mtaji mdogo sana, ambao nao wanaenda kuuza kwa wateja wa rejareja(wanapitisha mtaani),hii biashara ilinipa pesa sana,mbinu rahisi kwangu nilizozitumia ilikua hiviii...
1.nilianza kulima mbogamboga (kwenye bonde la mpunga lililotelekezwa kwa muda huo),nililima mchicha,matembele, Chinese,sukuma wiki na figiri,na majani ya maboga hapo sio kwa Sana sababu hayasapoti.
-mboga nilizolima nikawa nawauzia wanunuzi wa jumla(wale wanaotembeza barabarani),zingine nazipeleka kwenye magenge Kama manne tofauti(ambao pia nilikua nawalipa baadhi ya kiasi)
-biashara ilivyoanza kukua kwa Kasi,nkawa nasaidia na mtuwingine(huyu nilikua namlipa kutokana na faida),asubuhi tunamwagilia,jioni tunachuma kwa wanunuzi wa jumla
-aisee ilifikia stage nikawa naingiza zaidi ya sh 39,000 kwa siku kama faida(sio mapato)
"Kinachoongoza maisha ni AKILI sio UMRI"...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91]

Shenz typ watu na ajira zao
 
Hamnaga biashara ya kwenye fremu ya mtaji mdogo labda ukaifungulie Makoka huko madongo kuinama😅😅😅
 
Kumbe milioni 3 ni mtaji mdogo? biashara kama ya kuuza mihogo, viazi kwa mafungu haizidi laki 2 au hata kuku wa kienyeji haizidi laki tano,, ww unaleta biashara za mamilion
Halafu anaita mtaji mdogo 😅 kummmk walai!
 
Siwezi kumuweka mwanamke nimpendaye au mke wangu rehani iwe dukani au biasharani kokote ambako mafisi watamfikia na kumsemesha!😅 NEVER!!!

Yani mara mia apigwe bolo ofisini ila sio sehemu ambayo na mimi nitakua naonekana na hao watu wakawa wananisanifu!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Umeandika ukweli mtupu
 
Pilipili ya kutengeneza ilikuwa inanilipa ila sijui hata kwa nini niliacha
 
Ualimu wa watoto wa international schools tu (sio NECTA). Mtaji ilikuwa 400,000 kwa ajili ya matangazo ya awali. Tulifanya mauzo ya kama mil 20 katika kipindi kile.

Magroup ya Whatsapp. Mtaji simu na matangazo ya FB. Tulitumia kama 50k (niligundua njia ya kupata matangazo ya FB kwa almost free mwaka 2015). Tulianza mauzo 2016 June na tuna zaidi ya mil 150 mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…